Simu Nokia c1 haisomi USB tatizo nini?

Sigara Kali

JF-Expert Member
May 28, 2017
3,623
8,428
Salaam wakuu

Nina simu yangu hapa Nokia c1 ilipata tatizo la kioo nikarekebisha kwa kuweka kioo kipya,

Baada ya kuweka kioo kipya ikawa haipeleki chaji,baada ya kurekebisha ikaa poa chaji inapekeka na usb inasoma vizuri

Sasa baada ya siku chache usb haisomi na chaji inapeleka kama kawaida, usb debugging upande wa developer iko active sasa sijajua shida ni nini?

Kuna namna ya kutatua tatizo mwenyewe kabla sijaipeleka tena kwa fundi?

Msaada tafadhali.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom