Simu Nokia 97 Mini Brand new inauzwa

ogm12000

JF-Expert Member
Oct 5, 2007
304
86
Ninauza Simu brand new nokia Mini N97.. Itakuwa mikononi mwangu tuesday 22/02. Ni PM kutuchonge. Vile vile kuna N96 nokia used look like brand new.

Regards
 
Ni mchina au??? Umeitumia na watafuta wa kufa nayo.je inapata moto au ? Binafsi sidanganyiki nishaumia sana Na kwa nini isiwe kariakoo mkuu?
 
Sio mchina ni mwingereza. Sitafuti wa kufa nayo ni simu ipo kwenye hali nzuri kabisa. N96 Nimeitumia kidogo hiyo nyingine N97 Mini inanifikia mikononi mwangu tuesday. kama upo interest nistue tutaangalia jinsi ya kutuma.

regards
 
Wewe naona unataka utupe maumivu tu, mbona hakuna taarifa zozote kuwepo kwa Nokia made in Uingereza?? Nimeshakusitukia!!!
 
Lol. Mama mdogo si kila mtu mwizi:)...Sijasema made in Uk. Mimi naipata nikiwa hapa UK napewa na kampuni ambayo nina contract nao. Mimi nataka kutumia simu ya bei ndogo let say 20 pound. N97 mini ni mojawapo ya matoleo mapya ndio maana nataka nitegeneze pesa kidogo.

Once again si kila muuza kitu basi anataka kuliza wengine..lol

If u are serious wewe ni PM tuone tunafanya vipi biashara..

Regards
 
Kwa kujenga interest za wadau wa JF ungemwaga hapa specs zake kwa sababu simu ambayo hujaitumia huwezi kujua ina nyanga mwaga specs ili tujipange uwezo wa simu ni kitu cha msingi kama ambavyo tunanunua laptop na electronics device nyingine.

So just be4 PM specs plz!!
 
Lol. Mama mdogo si kila mtu mwizi:)...Sijasema made in Uk. Mimi naipata nikiwa hapa UK napewa na kampuni ambayo nina contract nao. Mimi nataka kutumia simu ya bei ndogo let say 20 pound. N97 mini ni mojawapo ya matoleo mapya ndio maana nataka nitegeneze pesa kidogo.

Once again si kila muuza kitu basi anataka kuliza wengine..lol

If u are serious wewe ni PM tuone tunafanya vipi biashara..

Regards
unahangaika bure hamna wanunuzi hapa nilishaweka cm n97 original na specific zote,jamaa kajifanya anaitaka nimesumbuka kupeleka bongo imemfikia akadai ya mchina!yaani jamaa awaamini kitu chochote wao akili zao ziko china,chinaaa
 
Sio kweli hapa bongo huwa mara nyingi tunanua simu mnazoleta toka huko UK tatizo mnaleta simu zilizochoka na mnauza kwa bei kubwa mimi mwenyewe nimewahi kuletewa hizo simu lakini nimepata maumivu imebidi nitoe hela yangu kuwalipa jamaa niliowauzia kwa maana jamaa nilipomwambia watu wanarudisha simu zako na wanataka pesa yao jamaa akang'aka na kaka huku watu hali ni ngumu ukitaka kuuza simu tafuta za bei ndogo isizidi laki ,kwa kuuza sijui laki tatu na zaidi kaka utadoda huo ni ushauri wa bwelele
 
inategemeaa mtu na mtu,2 months ago nimeleta simu 7,nimeuza kati ya tsh 180,000 mpaka 500,000tsh zimeuzwa zote mpaka sasa,nilisumbuka kuuza moja tu sony erricson coz watu wengi hawazijui,simu chini ya tsh 100,000 simu gani hio?watu wanataka simu at least iwe na camera,mp3,fm etc sasa tsh 100,000 si utauziwa fake ndugu yangu.na hizo simu nilizoleta nimenunua UK but were made in CHINA.
 
Ninauza Simu brand new nokia Mini N97.. Itakuwa mikononi mwangu tuesday 22/02. Ni PM kutuchonge. Vile vile kuna N96 nokia used look like brand new.

Regards

simu iko bongo?unataka tsh ngapi?ni-PM pls
 
Mjomba hivi umekosa wa kumuuzia huko hadi uitume bongo? au ndo namna ya kuwasaidia wtz wenzio? anyhow safi ila kwa usawa huu, wabongo ni maneno tu. Muuzaji anauza kitu bandia na mnunuaji ananunua kwa pesa bandia!
 
Sio mchina ni mwingereza. Sitafuti wa kufa nayo ni simu ipo kwenye hali nzuri kabisa. N96 Nimeitumia kidogo hiyo nyingine N97 Mini inanifikia mikononi mwangu tuesday. kama upo interest nistue tutaangalia jinsi ya kutuma.

regards

hapo nimepata somo kidogo, kumbe nokia wana kiwanda uingereza! i didnt know.
 
Simu za Nokia uingereza zinatoka Hungary, Romania, Philippines, Finland na hata China (N95 mfano).
Natumia Nokia 5530 iloyotoka UK na imetengenezwa Hungary.
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom