Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni mchina au??? Umeitumia na watafuta wa kufa nayo.je inapata moto au ? Binafsi sidanganyiki nishaumia sana Na kwa nini isiwe kariakoo mkuu?
Sio mchina ni mwingereza. Sitafuti wa kufa nayo ni simu ipo kwenye hali nzuri kabisa. N96 Nimeitumia kidogo hiyo nyingine N97 Mini inanifikia mikononi mwangu tuesday. kama upo interest nistue tutaangalia jinsi ya kutuma.
regards
Wewe naona unataka utupe maumivu tu, mbona hakuna taarifa zozote kuwepo kwa Nokia made in Uingereza?? Nimeshakusitukia!!!
unahangaika bure hamna wanunuzi hapa nilishaweka cm n97 original na specific zote,jamaa kajifanya anaitaka nimesumbuka kupeleka bongo imemfikia akadai ya mchina!yaani jamaa awaamini kitu chochote wao akili zao ziko china,chinaaaLol. Mama mdogo si kila mtu mwizi...Sijasema made in Uk. Mimi naipata nikiwa hapa UK napewa na kampuni ambayo nina contract nao. Mimi nataka kutumia simu ya bei ndogo let say 20 pound. N97 mini ni mojawapo ya matoleo mapya ndio maana nataka nitegeneze pesa kidogo.
Once again si kila muuza kitu basi anataka kuliza wengine..lol
If u are serious wewe ni PM tuone tunafanya vipi biashara..
Regards
Sio kweli hapa bongo huwa mara nyingi tunanua simu mnazoleta toka huko UK tatizo mnaleta simu zilizochoka na mnauza kwa bei kubwa mimi mwenyewe nimewahi kuletewa hizo simu lakini nimepata maumivu imebidi nitoe hela yangu kuwalipa jamaa niliowauzia kwa maana jamaa nilipomwambia watu wanarudisha simu zako na wanataka pesa yao jamaa akang'aka na kaka huku watu hali ni ngumu ukitaka kuuza simu tafuta za bei ndogo isizidi laki ,kwa kuuza sijui laki tatu na zaidi kaka utadoda huo ni ushauri wa bwelele
Ninauza Simu brand new nokia Mini N97.. Itakuwa mikononi mwangu tuesday 22/02. Ni PM kutuchonge. Vile vile kuna N96 nokia used look like brand new.
Regards
Sio mchina ni mwingereza. Sitafuti wa kufa nayo ni simu ipo kwenye hali nzuri kabisa. N96 Nimeitumia kidogo hiyo nyingine N97 Mini inanifikia mikononi mwangu tuesday. kama upo interest nistue tutaangalia jinsi ya kutuma.
regards