Simu kuwa ON wakati mvua inanyesha hasa ya radi ni hatari? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Simu kuwa ON wakati mvua inanyesha hasa ya radi ni hatari?

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Stevemike, Mar 30, 2011.

 1. Stevemike

  Stevemike Senior Member

  #1
  Mar 30, 2011
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 117
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Nimeamua kuuliza hili swali baada ya kuwa njia panda kwa muda mrefu. Wengine husema wakati mvua inanyesha hasa ya radi simu inatakiwa ifungwe maana ni hatari. Wengine husema haina tatizo. Naomba mnielimishe tafadhali.
   
 2. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #2
  Mar 30, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Simu ina chaji ndani, wakati mvua yenye radi ina chaji pia..hivyo naona kuna uwezekano wa mvutano na kusababisha madhara kwa chombo au hata mtumizi!

  Lakini nimewahi kushuhudia simu iliyomlipukia mtu ikiwa mfukoni, na wakati huo hapakuwa na mvua wala radi!...Ni kwamba jamaa alisikia kishindo toka mfukoni, na ghafla suruali ikaanza kutoa moshi mwingi, huku jamaa akielekea kuwaka moto...

  Kwa bahati nzuri alifanikiwa kuichomoa simu hiyo mfukoni na kuirusha mbali, huku akiachwa na matundu kwenye suruwali kiasi ilikuwa ni aibu kwake kutembea mbele za watu...alishauriwa kuripoti ishu hiyo kwenye kampuni ya simu prvider wa huduma hiyo, lakini walishindwa kutoa jibu la maana!

  Hivyo simu zina hatari, whether kuna radi aMA la!
   
 3. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #3
  Mar 30, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,037
  Trophy Points: 280
  mwee....hiki ni kisanga....hiyo simu usikute ilikuwa ni mchina, maana nasikia mchina huwa zinalipuka kama bomu....mbona tutakwisha wengi tunaotumia michina....na je tatizo lilikuja kujulikana ni nini?
   
 4. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #4
  Mar 30, 2011
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,123
  Likes Received: 619
  Trophy Points: 280
  Simu za landline ndo zina hatari wakati wa radi kwa sababu umeme unataka ufuate njia yenye resistance ndogo so zinaweza kupiga nyaya za simu. Simu za mkononi hazina matatizo.
   
 5. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #5
  Mar 30, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 592
  Trophy Points: 280
  khaaa!
  Tutapona kweli.
   
 6. T

  Taso JF-Expert Member

  #6
  Mar 31, 2011
  Joined: Jun 12, 2010
  Messages: 1,653
  Likes Received: 460
  Trophy Points: 180
  "hivyo naona"?

  Tunataka study-based facts, sio "hivyo naona"!
   
 7. mchillo

  mchillo JF-Expert Member

  #7
  Mar 31, 2011
  Joined: Oct 13, 2010
  Messages: 434
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Hivyo ndivyo ilivyo. Ukweli ni kwamba simu za landline zina uwezekano mkubwa kuathirika kwa radi kwa vile upo radi hufuata mkondo wa waya wenye resistance ndogo. Simu za mkononi hazina waya na hilo linasababisha ugumu wa radi kufuata mkondo hadi kwenye simu.
  Tafsiri ya hili ni kwamba simu za mkononi ziko salama kutumiwa hata wakati wa radi lakini si za landline ambazo unatakiwa kukaa nazo mbali linapotokea tishio la radi.
   
 8. Job K

  Job K JF-Expert Member

  #8
  Mar 31, 2011
  Joined: Oct 4, 2010
  Messages: 6,884
  Likes Received: 2,833
  Trophy Points: 280
  Labda kwa kuwa on peke yake hapo tunaomba wataalam watuelimishe lakini kupokea itakuwa na madhara. Jamani tuelimishe watu wasipende kutumia simu za mkononi wakati mvua inanyesha. Tusikimbilie kusema simu za mkononi hazina matatizo bila kuwa na uhakika. Kuna jamaa mmoja aliwahi kumkimbilia mtu aliyekuwa anapokea simu wakati mvua inanyesha na alikuwa nje, huyo jamaa akaikwapua simu na kumzuia kabisa asiitumie mpaka mvua iishe. Tulipotaka kujua maana yake alitusimulia kuwa aliwahi kumpoteza rafiki yake kwa kupigwa na radi wakati anaongea kwa simu ya mkononi wakati mvua inanyesha.

  Sasa shida inakuja kwamba simu iko "On" je ikiita utaacha kuipoke? Hapa naamini wananchi waliosoma Physics watatusaidia sana kwa kutueleza uhusiano wa yale mawimbi ya simu na charge za radi.
   
 9. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #9
  Mar 31, 2011
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,123
  Likes Received: 619
  Trophy Points: 280
  Hakuna uhusiano wa mawimbi ya simu na radi, simu ya mkononi ni salama na haiongezi wala kupunguza chance zako za kupigwa na radi. Kama huyu jamaa alipigwa na radi wakati anaongea kwenye simu ni coincidence tu.
   
 10. m

  masssaiboi JF-Expert Member

  #10
  Mar 31, 2011
  Joined: Feb 10, 2009
  Messages: 637
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 33
  Siyo kweli, simu zote ni hatari, mwaka juzi kuna case mbili za watu kuunguzwa na radi wakiwa wanatumia simu zao.
  Simu ziliungua kabisa na wao walijeruhiwa mikononi na usoni.
   
 11. Mpevu

  Mpevu JF-Expert Member

  #11
  Mar 31, 2011
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 1,816
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Nami nimepata kushuhudia workshop ielezeayo mahusiano ya miale ya simu, RADI & MAKOMBORA. Kuna uhusiano wa karibu sana ktk hayo, wanafizikia watatudadavulia vema ila vinahusiana sana.
   
 12. SMU

  SMU JF-Expert Member

  #12
  Mar 31, 2011
  Joined: Feb 14, 2008
  Messages: 7,934
  Likes Received: 2,085
  Trophy Points: 280
  Ni imani potofu! Simu (mobile phones) huwa zinakuja na operating manual zake, unaweza angalia vipengele vya tahadhari kama hiyo ya mvua/radi ipo!

   
 13. Obi

  Obi JF-Expert Member

  #13
  Apr 1, 2011
  Joined: Jul 6, 2009
  Messages: 376
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Mobile phone risk during storms

  [​IMG] Metal in objects such as phones can direct the current into the body

  Next time you find yourself talking on your mobile phone in the middle of a thunderstorm you may want to cut the conversation short. UK doctors have warned of the danger of lightning strikes when using mobile phones outdoors during stormy weather.
  In the British Medical Journal, they highlight the case of a teenager left with severe injuries after being struck by lightning when talking on her phone.
  The metal in the phone directs the current into the body, they say.
  A 15-year-old girl was struck by lightning while talking on her phone in a large park in London during stormy weather.
  [​IMG] [​IMG] Children particularly won't realise the risk [​IMG]


  Dr Swinda Esprit


  She has no recollection of the incident but suffered a cardiac arrest and had to be resuscitated.
  A year later, she has to use a wheelchair and has severe physical difficulties as well as brain damage which has led to emotional and cognitive problems.
  In the ear where she was holding the phone, she has a burst eardrum and persistent hearing loss.
  When a person is hit by lightning, the high resistance of human skin causes the lightning charge to flow over the body - often known as an 'external flashover'.
  But some of the current can flow through the body. The more that flows through, the more internal damage it causes.
  Conductive materials in direct contact with the skin such as liquid or metal objects increase the risk that the current will flow through the body and therefore cause internal injury.
  [​IMG] LIGHTNING FACTS
  There are, on average, about 1,800 thunderstorms in progress at any one time around the world with 100 lightning strikes every second.
  A lightning bolt travels at about 14,000mph and heats up the air around it to 30,000°C - five times hotter than the surface of the sun.
  The chance of being hit by lightning is about one in three million.


  Rare occurrence
  The doctors at Northwick Park Hospital in London who treated the girl's hearing injuries found three other cases of people being hit by lightning while talking on a mobile phone - all of whom died of their injuries - in China, Korea and Malaysia.
  They said although cases were rare it was a public health issue and people needed to understand the risks.
  Swinda Esprit, a doctor in the ear, nose and throat department said: "It is obvious really but we all carry mobile phones and we don't think about it.
  "If you're struck by lightning on its own it will flash over your body but if you're holding a phone it will internalise and cause much worse injuries.
  "Children particularly won't realise the risk.
  "In Australia they have guidelines, and one of the things they say is not to hold mobile phones outside during storms."
  Dr Esprit said mobile phone manufacturers should warn consumers of the dangers.
  Emergency call
  Paul Taylor, a scientist at the Met Office said it could also be dangerous to carry a mobile in your pocket during a storm.
  "It is well known within the thunderstorm detection community that wearing or carrying metallic objects can increase the likelihood of injury.
  "It certainly adds to the intensity of the skin damage and the article certainly amplifies that here.
  "I would treat a mobile phone as yet another piece of metal that people tend to carry on their persons like coins and rings".
  But Ramsey Farragher of the astrophysics group at Cambridge University, said in the BMJ: "Stabbing a metal pole into the ground and holding onto it is asking for trouble.
  "But holding a very small amount of metal inside an insulated plastic case is unlikely to enhance the electric field enough to increase the risk of a strike much further."
  Chris Abraham of the Australian Mobile Telecommunications Association agreed.
  He added: "The risk is that people may not have their mobile phones with them to call emergency services if someone is struck by lightening."
  source: BBC NEWS | Health | Mobile phone risk during storms   
 14. S

  ShockStopper Senior Member

  #14
  Apr 5, 2011
  Joined: Apr 10, 2009
  Messages: 112
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 45
  Samahani, na hiyo avatar ni mchina au ya ukweli?
   
Loading...