Ebwana mbona sikuelewi unachoshangilia hapa??au umenogewa na lift ya arusha kwenda kusikiliza mkutano wa mke wenu kafu??
oya usishangae kazi za magamba
Ebwana mbona sikuelewi unachoshangilia hapa??au umenogewa na lift ya arusha kwenda kusikiliza mkutano wa mke wenu kafu??
utigwe kiki? swela.INGULIVI ALIBAHA.
We mumeo ni nani???!!!!!!!!!!!
Wadanganye BONGOLALA WENZIO.
nataramo maeRuwa nakutarame na akusongoe mbunge lema.
Hivi Jaji Ihema ndiye huyo huyo anayeongoza kamati ya Nchimbi ya uchunguzi kuhusu kifo cha Mwandishi Daud Mwangosi? Je baada ya hotuba ya Raisi Kikwete juzi, kuna haja yoyote ya kuendelea na huo uchunguzi? Je Kauli hiyo ya Raisi inatoa ujumbe gani kwa hiyo kamati na kwa msingi huo huo kama Raisi aliweza kusema aliyoyasema kabla ya ripoti ya hiyo kamati kutolewa, kwa nini huamini kuwa simu inaweza kupigwa kutoka Ikulu?Mkuu kwanza kabisa acha kumdhalilisha jaji Ihewa kwa hoja zako za kitoto
Kwanini unawaandaa na kwaaminisha watu lazima Lema ashinde? Na ikiwa vinginevyo basi ni simu kutoka ikulu
utigwe kiki? swela.INGULIVI ALIBAHA.