Ninatumia simu aina ya HTC Evo 4g.
Inachonishangaza ni kwamba nikiingia net baada ya dakika tano tu, inapata moto sana huku nyuma usawa wa kamera.
Ninachoomba kufahamishwa ni kawaida kwa adroid zote au hizi htc tu?
si ndo mionzi hyo inawatafuna
shauri yenu mtaja ugua masaratani ya kichwa na utumbo
Ninatumia simu aina ya HTC Evo 4g.
Inachonishangaza ni kwamba nikiingia net baada ya dakika tano tu, inapata moto sana huku nyuma usawa wa kamera.
Ninachoomba kufahamishwa ni kawaida kwa adroid zote au hizi htc tu?
Ninatumia simu aina ya HTC Evo 4g.
Inachonishangaza ni kwamba nikiingia net baada ya dakika tano tu, inapata moto sana huku nyuma usawa wa kamera.
Ninachoomba kufahamishwa ni kawaida kwa adroid zote au hizi htc tu?
Mkuu ni simu nimenunua mwezi novemba.Je,ni simu mpya? ina.muda gani tangu uinunue? mimi nilinunua Xperia mwezi wa 9,yenyewe ilikuwa haisubiri uingie internet,hata kama unasikiliza muziki inakuwa ya moto kama italipuka muda wowote. Nili browse kwny webs na blogs za Sony kutafuta suluhisho,wakasema ni hali ya kawaida kwa simu mpya,kwani software yake bado inajizoesha na matumizi,wakasema baada ya muda itaacha. Sasa huu ni mwezi wa tatu,sioni tena hivyo vijimambo,hata betri ilikuwa inaisha haraka sana. Sasa hivi iko poa. Ni hali ya kawaida kwa simu za Android hasa zile ambazo betri ni non removable.
Je,ni simu mpya? ina.muda gani tangu uinunue? mimi nilinunua Xperia mwezi wa 9,yenyewe ilikuwa haisubiri uingie internet,hata kama unasikiliza muziki inakuwa ya moto kama italipuka muda wowote. Nili browse kwny webs na blogs za Sony kutafuta suluhisho,wakasema ni hali ya kawaida kwa simu mpya,kwani software yake bado inajizoesha na matumizi,wakasema baada ya muda itaacha. Sasa huu ni mwezi wa tatu,sioni tena hivyo vijimambo,hata betri ilikuwa inaisha haraka sana. Sasa hivi iko poa. Ni hali ya kawaida kwa simu za Android hasa zile ambazo betri ni non removable.