Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 30,631
- 39,613
Refurbished sio fake, ukiweka app yoyote itakuambia ni OG.Mkuu hivi hakuna namna ya kujua Refurbished lakini OG nikachulia hapa hapa Bongo kwetu. Maana wengi wanakubali ku-install app ya kucheki info. Au nazo tiyari zishachakachuliwa kiasi kwamba zitaleta same info kama za GSMArena but fake
Refurbished ni simu zilizoharibika Kisha zikarudishwa kutengenezwa then zinauzwa upya.
Mfano simu mbovu ina overheat huwezi ijua kwa kurun tu cpu z na kuangalia kama ni OG. Mpaka uitumie na kurun app nzito nzito utajua.
Kama una mtu unamjua unaweza nunua Hapa Tz, ila ni kubeti.