Simu ipi kati ya Samsung S Series from S10+ na Iphone kuanzia XR inakaa sana na Chaji?

Chief-Mkwawa

Platinum Member
May 25, 2011
25,953
2,000
Mkuu hivi hakuna namna ya kujua Refurbished lakini OG nikachulia hapa hapa Bongo kwetu. Maana wengi wanakubali ku-install app ya kucheki info. Au nazo tiyari zishachakachuliwa kiasi kwamba zitaleta same info kama za GSMArena but fake
Refurbished sio fake, ukiweka app yoyote itakuambia ni OG.

Refurbished ni simu zilizoharibika Kisha zikarudishwa kutengenezwa then zinauzwa upya.

Mfano simu mbovu ina overheat huwezi ijua kwa kurun tu cpu z na kuangalia kama ni OG. Mpaka uitumie na kurun app nzito nzito utajua.

Kama una mtu unamjua unaweza nunua Hapa Tz, ila ni kubeti.
 
PD_Magumba

Member
Apr 2, 2021
22
45

Thanks mkuu nimekuelewa. Ninaendelea na online purchase. Kama yapo mawasiliano ya kampuni unaloliamini naomba unisaidie full details zao ili nipitie kwao
 
mkorinto

JF-Expert Member
Jun 11, 2014
23,992
2,000
Refurbished sio fake, ukiweka app yoyote itakuambia ni OG.

Refurbished ni simu zilizoharibika Kisha zikarudishwa kutengenezwa then zinauzwa upya.

Mfano simu mbovu ina overheat huwezi ijua kwa kurun tu cpu z na kuangalia kama ni OG. Mpaka uitumie na kurun app nzito nzito utajua.

Kama una mtu unamjua unaweza nunua Hapa Tz, ila ni kubeti.
Tatizo kuna dhana mbaya kwa simu refurbished.

Mfano mimi nina jamaa yangu anaziuza kkooo,hana wenge ukichukua kwake.mfano iphone xs max anauza 1.1,note 10 1m.

Hizi simu ukitaka sealed toka zilipofungwa miaka kadhaa toka kiwandani utakuta zinazidi hata laki nne kwa kila moja hapo.
 
Chief-Mkwawa

Platinum Member
May 25, 2011
25,953
2,000
Tatizo kuna dhana mbaya kwa simu refurbished.

Mfano mimi nina jamaa yangu anaziuza kkooo,hana wenge ukichukua kwake.mfano iphone xs max anauza 1.1,note 10 1m.

Hizi simu ukitaka sealed toka zilipofungwa miaka kadhaa toka kiwandani utakuta zinazidi hata laki nne kwa kila moja hapo.
Issue kubwa ni kwamba Watanzania Wengi si Waaminifu. Refurbished nyingi zinatoka China na ni simu zenye matatizo sugu.

Ila ukipata manufacture refurbished, mfano kama ni iPhone umeitoa kwa Apple mwenyewe, kuna possibility kubwa ikawa ni simu nzuri.

Zamani mbona ulikua unaenda tu dukani unanunua simu used unakaa nayo miaka kibao.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom