Simu inanisumbua Camera

Nov 22, 2020
25
45
Wakuu habar zenu mimi na shida simu yangu inanisumbua camera. Itel a32f, camera inaonesha giza nimepeleka kwa fundi akabadilisha akaweka camera zingine lakini bado inaonesha giza tu nimejaribu pia kwa fundi mwingine kabadisha kaweka zingine lakini inaonesha hivyo hivyo kuback up naye nimeback up lakini bado inaonesha giza tu sijajuwa shida iko wapi naombeni msaada wenu hata ushauri tu nifanyeje
 
Nov 22, 2020
25
45
Screenshot_20210914-124157.png
 

Castr

JF-Expert Member
Apr 5, 2014
25,983
2,000
Inaonesha hivyo
Kama ungekua ndani ya warranty hata usingeifungua ungeirudisha.

Sasa kwakua ushaifungua acha tu nitoe suggestions;
1) Fundi wa kwanza aliyebadilisha kamera ndiye huyo huyo ungemuacha aendeleze ufundi wake.

2) Ninavyojua simu ikiwa ina shida inakuambia. Mfano itasema kamera imekaa vibaya n.k.

3) Ulivyosema umeback up nafikiri unamaanisha kurestore kama umerestore na bado tatizo lipo na haikuambii shida ni nini.

4) Mimi naona suluhisho lililobaki la kulijaribu ni kuflash firmware ya hiyo simu yako. Kama hata baada ya kuflash firmware bado itabaki na tatizo basi hapo tatizo ni hardware.

5) Na kama tatizo ni hardware means sasa itabidi utafute saketi nzima ya kuendana na simu yako na uifunge. Hayo yote yatawezekana kwa kutegemea location yako.
 

Castr

JF-Expert Member
Apr 5, 2014
25,983
2,000
Nimeenda kuicheki online. Mkuu simu ya internal memory 8GB nafikiri hauna haja ya kugombana nayo.

Tafuta saket moja kwa moja. Ama la itumie wakati unaweka akiba kununua simu nyingine.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom