Simu inaleta kujaza Google account tu baada ya kuiflash

Al-shabaab

JF-Expert Member
Aug 24, 2013
1,791
617
Habarini wanaJf
Ni simu hizi za Vodafone sikU nne zilizopita iliflashiwa baada ya kuflashiwa ukiiwasha Tu inadosplay ujaze google account na haiendelei zaidi ya hapo na ukihaza google account yoyote iliyo sahihi bado haifunguki naombeni msaada juu ya Hilo ile me nafikiria kuifanyia restoration labda ndo itakua solution?
 
Kwa nini uliiflash? Hiyo simu utakuwa uliiba wewe na siyo mzoefu wa kutumia smart phones. Smart phones zote (Android au Apples) ukisha iflash inakuwa kama mpya, yaani ndo unaanza kuitumia kwa mara ya kwanza. Hivyo inahitaji uifungulie account - Google Account kwa Android au iTune Account kwa Apples, ili uweze kutumia Google Play Store/Application Store nk. Huwezi kutumia smart phone bila kwanza kuisajili kwa kutumia E-mail address yako kupitia Google A/C au iTune A/C. Wizi siyo mzuri dogo. Hiyo simu mrudishie mwenyewe, Mungu anakuona!
 
U

Nacomement kwa kitu usichokifahamu stop hiyo fallacy of generalization mkuu
 
Habarini wanaJf
Ni simu hizi za Vodafone sikU nne zilizopita iliflashiwa baada ya kuflashiwa ukiiwasha Tu inadosplay ujaze google account na haiendelei zaidi ya hapo na ukihaza google account yoyote iliyo sahihi bado haifunguki naombeni msaada juu ya Hilo ile me nafikiria kuifanyia restoration labda ndo itakua solution?
Either wewe ni mwizi au umenunua simu ya wizi na utakamatwa pale mwenyewe mali akienda ku track kwenye makampuni ya simu.
 
Kwa tanzania hii hata kama umeiba na kikakushida huwezi kumrufishia mhusika, ila uhakika wa kuitoa hapo ilipo upo na inawezekana. Ila ni process ndefu kidogo.
 
Habarini wanaJf
Ni simu hizi za Vodafone sikU nne zilizopita iliflashiwa baada ya kuflashiwa ukiiwasha Tu inadosplay ujaze google account na haiendelei zaidi ya hapo na ukihaza google account yoyote iliyo sahihi bado haifunguki naombeni msaada juu ya Hilo ile me nafikiria kuifanyia restoration labda ndo itakua solution?
Kijana..... Bila shaka unatumia Vodafone yenye android 6 marshmallow na io kitu inaitwa FRP (Factory Reset Protection).....kuipita iyo stage kuna njia mbili tu....Ni either uconnect kwenye WiFi na uweke gmail account na password yako ya awali ilokuepo kabla ya kuireset sim yko..... Na njia ya pili ya kuibypass io kitu ya FRP ni simple tu kama anghalau kidogo una ka uelewa ka computer.... Unatumia crack boxes za MIRACLE BOX na NCK Doungle km CPU yake ni MTK....

Vizuri ungetaja hata na Model ya sim yenyew ili ukapatiwa msaada kwa urahisi sa we unataja tu Vodafone... Akati kuna models nyingi tu za izo simu za VDF....
 
hio ni security mpya ya android simu za kuanzia android 5 kupanda ukiziformat au baadhi ukiziflash huku ina security kama pattern au pin inakuja kukudai google account baadae.

kuna njia nyingi sana za kubypass tegemea na simu yenyewe, kuna njia za otg (kama simu inakubali), kutumia box, baadhi ya software za pc nk.

ni model gani ya vodafone?
 
Hyo kwa Kifupi inaitwa FRP ina njia nyingi za kutoa... na hyo simu yako hukuflash ila uli reset... maana simu za mtk na spd ukiflash huwa inatoka pia... lakini samsung hata uflash kwa odin inabaki... muhimu sema simu yako ni vodafone ipi maana zngine ni spd na zingine ni mtk... tutajie model tukupe maelekezo ya kutoa .... mfano wa model za vodafone zenye FRP ni VFD 200 ambayo ni SPD na VFD 300 Ambayo MTK
 
Hapa tuungane asiye toa maelezo vizuri ni kupotezea changamoto ukiwambia hujatoa maelezo vizuri unatukanwa
 
Fanya hivi.
Washa simu yako then conect na wifi. Baada ya kuconect gonga next itaanza kuload, angalia yale maandishi ukiona imeandika `downloading .....‘ disconnect wifi kwa kuweka off hotspot kwenye hiyo simu nyingine. baada ya hapo itakuletea maelezo kuwa kuna error then jaza majina yako weka na lock. Baada ya hapo washa hotspot tena then piga next yatatomea maelezo then chini utaona either terms of service au privacy policy click moja wapo. Ikishaload hold neno lolote then select share then share kwa kutumia chrome. ikifunguka chrome pale kwenye search bar andika settings then select icon ya settings (gear icon)ikiingia kwenye system ya settings format simu kwisha kazi.
 
Ndio ivo mkuu...Mtu anaomba msaada huku hajatoa maelezo vzuri ya kueleweka ili kurahisisha kupatiwa msaada kwa urahisi...
 
Kijana..... Bila shaka unatumia Vodafone yenye android 6 marshmallow na io kitu inaitwa FRP (Factory Reset Protection).....kuipita iyo stage kuna njia mbili tu....Ni either uconnect kwenye WiFi na uweke gmail account na password yako ya awali ilokuepo kabla ya kuireset sim yko..... Na njia ya pili ya kuibypass io kitu ya FRP ni simple tu kama anghalau kidogo una ka uelewa ka computer.... Unatumia crack boxes za MIRACLE BOX na NCK Doungle km CPU yake ni MTK....

Vizuri ungetaja hata na Model ya sim yenyew ili ukapatiwa msaada kwa urahisi sa we unataja tu Vodafone... Akati kuna models nyingi tu za izo simu za VDF....

Samahani wakuu nilikua job
Ni
Vodafone CE 1588
Vfd 300
Jina jingine Vodafone smartmini 7
 
hio ni security mpya ya android simu za kuanzia android 5 kupanda ukiziformat au baadhi ukiziflash huku ina security kama pattern au pin inakuja kukudai google account baadae.

kuna njia nyingi sana za kubypass tegemea na simu yenyewe, kuna njia za otg (kama simu inakubali), kutumia box, baadhi ya software za pc nk.

ni model gani ya vodafone?

Samahani wakuu nilikua job
Ni
Vodafone CE 1588
Vfd 300
Jina jingine Vodafone smartmini 7
 
Hyo kwa Kifupi inaitwa FRP ina njia nyingi za kutoa... na hyo simu yako hukuflash ila uli reset... maana simu za mtk na spd ukiflash huwa inatoka pia... lakini samsung hata uflash kwa odin inabaki... muhimu sema simu yako ni vodafone ipi maana zngine ni spd na zingine ni mtk... tutajie model tukupe maelekezo ya kutoa .... mfano wa model za vodafone zenye FRP ni VFD 200 ambayo ni SPD na VFD 300 Ambayo MTK

Samahani wakuu nilikua job
Ni
Vodafone CE 1588
Vfd 300
Jina jingine Vodafone smartmini 7
 
Fanya hivi.
Washa simu yako then conect na wifi. Baada ya kuconect gonga next itaanza kuload, angalia yale maandishi ukiona imeandika `downloading .....‘ disconnect wifi kwa kuweka off hotspot kwenye hiyo simu nyingine. baada ya hapo itakuletea maelezo kuwa kuna error then jaza majina yako weka na lock. Baada ya hapo washa hotspot tena then piga next yatatomea maelezo then chini utaona either terms of service au privacy policy click moja wapo. Ikishaload hold neno lolote then select share then share kwa kutumia chrome. ikifunguka chrome pale kwenye search bar andika settings then select icon ya settings (gear icon)ikiingia kwenye system ya settings format simu kwisha kazi.

Samahani wakuu nilikua job
Ni
Vodafone CE 1588
Vfd 300
Jina jingine Vodafone smartmini 7
 
Samahani wakuu nilikua job
Ni
Vodafone CE 1588
Vfd 300
Jina jingine Vodafone smartmini 7
Vizuri.... Msaada hutolewa kwa kupata maelezo kamili kutoka kwa mwenye tatizo....
Hio mbona inatoka just within a second...!
Download NCK Doungle crack box, sababu io CPU yake ni MediaTek na install USB Drivers za MTK kisha fungua NCK na chagua kwenye service... Kuna Operation ya "Reset FRP" then click hapo.... Haya zima sim na chomoa betri na ulirudishe tena(Au unaeza usiliweke kbsa)... Chukua USB chomeka kwenye PC na uconnect na sim yko.... Acha NCK Doungle ifanye kazi yake...

Kama utafata procedures vizuri pale kwenye logs NCK itakuonyesha ivi... "Reset FRP finished! "

All done!

Chomoa sim yko na weka betri na uwashe utaona inakuomba kufungua account mpya ya google kana kwamba ndo umetoka kuinunua.... So unaeza skip tu kama hakuna haja na ukaendelea mbele......

Ila kama uelewa wa computer ni mdogo peleka kwa fundi....
 
Back
Top Bottom