Simu inakata stimu!

kipakaMwitu

Senior Member
Feb 19, 2009
158
20
jaman network searchng....., available, searchn............., jaman wanawake wafanyabiashara ni balaa tupu! Simu haizimwi,nimechoka naye, ugomv wetu ni cmu, uko uwanjan hajal ni kona, goalkick, au ...yeye utackia kesho utawah folen ya sukari?, viroba leta nane!,jaman inatisha, ugomvi unaanza pale ninapomshaur simu zetu tuziweke silence. Hatak kusikia hilo. Nifanyeje wana jf?
 
Mkubali kama alivo. Kwake yeye sim hiyo ni muhimu na hata akiweka silence bado ataongea tu. Labda ujaribu kumwambia awe na muda wa kazi na awe na muda wa kuongea na wewe. Pole pole awapeleke wateja/suppliers kuelewa kua wakiita baada ya masaa fulani hata jibu. Wakisha zoea utaona mabadiliko.
Solution ingine ni kutumia blackberry na kuwalazimisha wateja/supplier kum-contact through BBM au emails.
 
RR unafikiri hiyo BBM au emails kila mtiu anaijua? kwa wafanyabiashara wetu hawa,akina mangi wa manzese na maduka ya jumla? sidhani, halafu mleta thread atujulishe kwanza mkewe anatoka mkoa gani ndio tuanze kumshauri, manake kuna mikoa wao na biashara na pesa huwaambii kitu, mapenzi baadae
 
Asante kwa ushaur RR, nimevumilia sana kuhusu tabia yake hii lakn mara nyng huwa anacheka,na kusema, pesa hajapata bado, ina maana yy kwake pesa ndo anataka. Niliwah kwenda kwa mshaur wetu kuhusu hili akaja siku moja home kuongea nasi, lakn mwenzangu alimaind sana, akasema hatak kufundisha jinsi gan aish na mim
 
jaman network searchng....., available, searchn............., jaman wanawake wafanyabiashara ni balaa tupu! Simu haizimwi,nimechoka naye, ugomv wetu ni cmu, uko uwanjan hajal ni kona, goalkick, au ...yeye utackia kesho utawah folen ya sukari?, viroba leta nane!,jaman inatisha, ugomvi unaanza pale ninapomshaur simu zetu tuziweke silence. Hatak kusikia hilo. Nifanyeje wana jf?
huyo mpenzio ni kabila gani?
 
RR unafikiri hiyo BBM au emails kila mtiu anaijua? kwa wafanyabiashara wetu hawa,akina mangi wa manzese na maduka ya jumla? sidhani, halafu mleta thread atujulishe kwanza mkewe anatoka mkoa gani ndio tuanze kumshauri, manake kuna mikoa wao na biashara na pesa huwaambii kitu, mapenzi baadae

mke wangu ni mchaga wa rombo, jaman ninapoandika msg hz ninamtafakar sana, kwan ninamtakia mafanikio pia kwan mafanikio yake ni yangu pia.
 
RR unafikiri hiyo BBM au emails kila mtiu anaijua? kwa wafanyabiashara wetu hawa,akina mangi wa manzese na maduka ya jumla? sidhani, halafu mleta thread atujulishe kwanza mkewe anatoka mkoa gani ndio tuanze kumshauri, manake kuna mikoa wao na biashara na pesa huwaambii kitu, mapenzi baadae
Mi sidhani kama hivi vitu vinategemea kabila au mkoa. Vinategemea tu penzi lenu limekaa vipi na kama unalipa kipaumbele au laa...
Kwa upande mngine, kama unavo sema sio kila biashara inaenda kwa BBM...
 
Wanajf mabadiliko haya nimeyaona kwa mwaka sasa, toka alivyoanza biashara ya duka la jumla, baada ya six months alianza kutingwa sana na kaz, na kwa miez hii minne ndo balaa tupu. Mara nying mech inachezwa upande mmoja! Leo nimelala mbeya kikaz lakn sijatulia kabisa kiakili!, mke wangu ananipa shda.
 
haya wachaga wa rombo njooni hapa mmwage utetezi,mwenzenu keshawambia hata kama van persie anakaribia kumlamba chenga johnteri na kufunga bao,mke akisikia ngwararaaaa anamsukuma jamaa pembeni na kumwambia eeee mbe subiri nipokee simu babangu ...halafu utasikia..'mbura yesu na maria yaani kweli kabisa kimario unakataa kunipa hiyo biashara?...
 
kazi ipo basi mkiwa faragha simu mziache chumba kingine inawa cjui kama itasaidia,maana akisikia mlio atakurupuka kwenda kupokea. Au wakati unamwandaa zizime ? Pia usichoke kumwambia jinsi zinavyokukera
 
Wakati mech inakaribia kukolea refusha mkono umzimie simu. Mkimaliza unaiwasha.
 
jaman network searchng....., available, searchn............., jaman wanawake wafanyabiashara ni balaa tupu! Simu haizimwi,nimechoka naye, ugomv wetu ni cmu, uko uwanjan hajal ni kona, goalkick, au ...yeye utackia kesho utawah folen ya sukari?, viroba leta nane!,jaman inatisha, ugomvi unaanza pale ninapomshaur simu zetu tuziweke silence. Hatak kusikia hilo. Nifanyeje wana jf?

Pole sana mkuu ila inabidi uongee nae kwani anachofanya siyo sahihi kabisa. Tabia kama hiyo ndiyo inayosababisha watu kuwa na nyumba ndogo kwa kuwa wanandoa wengi hawajui kuwajibika ipasavyo kimapenzi. Huu ni ukweli na ndio maana wanandoa ndio wanaongoza kwa maambukizi ya HIV, cha msingi ni kumuelimisha kwamba afanyacho siyo sahihi na kina madhara gani katika ndoa yenu, ikiwezekana waone hata viongozi wa dini upate msaada zaidi.
 
jaribu kumwambia jinsi gani tabia yake inavyokukera akichukulia poa na wewe mchukulie poa kwa nin ufe kwa mawazo?
 
mbadilshie mipigo kakaaaa kitu kimetinga kisawasawa kinasugua panapo muwasho hatakumbuka simu ya biashara...Biashara itabaki moja tu ya hapooo...hapooo..uuuwii...
 
mechi bila kushiba haichezeki. inawezekana hiyo simu nduo inayowaezesha nyie kushiba na kuweza kucheza mechi. nakushauri uangalie namna ya kubalance kati mechi na mambo mengine ya msingi zaidi ya mechi. ukiangalia nyie wanawake wengi mnawapenda wanaume wakiwa na mpunga(pesa).
 
Back
Top Bottom