simu iliyoibiwa

Redey

Member
Aug 18, 2009
47
4
watalamu naomba msaada wenu ni jinsi gani naweza kuilinda simu yangu na vibaka.??
 
So far what you can do is to keep your emei number at safe place.Simu ikihibiwa unacheki na watu wa switch kwenye mitandao yote ya apa Tanzania.hawa watakuambia ipo ktk line number ngani,then unaweza kumtafuta kibaka wako.
so far inatakiwa TCRA kuinstall CEIR Central Equipment Identification Register,hii ndio kiboko ya wezi wa simu,but I dont know when this will be in place.
when Mobile IMEI ikiwa blacklisted aiwezi kamata network iliyoblacklistiwa,but for now apa TZ kama Voda wakiiblaklist,Ukiweka line ya Tigo inafanya kazi,but ikiwa CEIR ina fanya kazi when Tigo or Voda etc Blacklist a Mobile the mobile will not work in any Tanzania Mobile network
 
Chipukizi
  • profile.png
    View Profile
  • forum.png
    View Forum Posts
  • message.png
    Private Message
  • article.png
    View Articles
  • add.png
    Add as Contact
  • email.png
    Send Email
user-online.png

Senior Member
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png

:A S-rap::hail:
 
Hi Redey
My advise is mostly working if you have some symbian or smartphones..
Just install an application known as Wave secure(Nokia,BB,Windows mobiles,Iphones etc) or mobile tracker{specially for Samsung}.once your mwizi akiweka line yake automatically itakutumia secrertly his/her number to your buddies ambao watakuinform..then kwa msaada wa police,network provider ama TCRA u can narrow ur trace hadi kumpata new user regardless kama ndio aliekuibia au aliyeuziwa.Remember kuwa most of the working lines sasa zimesajiliwa japo kimagumashi lakini it might help!!
 
......
when Mobile IMEI ikiwa blacklisted aiwezi kamata network iliyoblacklistiwa,but for now apa TZ kama Voda wakiiblaklist,Ukiweka line ya Tigo inafanya kazi,but ikiwa CEIR ina fanya kazi when Tigo or Voda etc Blacklist a Mobile the mobile will not work in any Tanzania Mobile network

Umeeleza vizuri lakini Tatizo la tanzania Hata kama ulikuwa umeweka line ya kampuni " X" na mwizi wako akaiba naye akaweka iline ya ile ile kampuni ya" X". Hakuna watakachofanya. hata kama una RB hawatafanya kitu. Hakuna sheria inawalazmisha .

Na hata mfanyakazi wa kampuni akikusaidia kui trace anafanya individulal na kwa siri sio sera za kampuni. Na inaweza kumuweka kwenye matatizo wakuu wake wakijua. UNless uwe mtoto wa Rais, Waziri Mkuu au Mkurugenzi wa UWT.

Kuna softwae moja initwa Theft aware kwa simu zenye OS ya symbian

Theft Aware provides data protection and theft recovery for Smartphones. It enables you to control and find your device in the event of loss or theft. To enable communication to your phone you will register up to two notification numbers with Theft Aware (friends of yours, or your second phone). Those friends will then receive all Theft Aware messages for you. Now, if the thief changes the SIM card of the phone, Theft Aware will invisibly send the phone number of the thief to those recipient numbers.

Pros: - completely invisible to the thief
- if the thief changes simcard you get his phone number! it's sent to a number u specified before.

- GREAT to spy on girl/boy friend - but not allowed :-

Cons: - Trial is free - but full Version costs money (just once - no monthly fee)

unweza kuijaribu hapa kwa majaribio http://download.cnet.com/Theft-Aware-Symbian/3000-2144_4-10973790.html

NB:
Tatizzo la hii unaweza kutrace mwizi au aliyeuziwa simu yako anatumia number gani lakinikama hajaamua kujisalimisha kumkamata bado utahitaji ushirikianowa kampuni ya simu na polisi.
 
So far what you can do is to keep your emei number at safe place.Simu ikihibiwa unacheki na watu wa switch kwenye mitandao yote ya apa Tanzania.hawa watakuambia ipo ktk line number ngani,then unaweza kumtafuta kibaka wako.
so far inatakiwa TCRA kuinstall CEIR Central Equipment Identification Register,hii ndio kiboko ya wezi wa simu,but I dont know when this will be in place.
when Mobile IMEI ikiwa blacklisted aiwezi kamata network iliyoblacklistiwa,but for now apa TZ kama Voda wakiiblaklist,Ukiweka line ya Tigo inafanya kazi,but ikiwa CEIR ina fanya kazi when Tigo or Voda etc Blacklist a Mobile the mobile will not work in any Tanzania Mobile network
Duh bwana mzee! Sina lengo baya lakini jitahidi saana kujifunza maneno gani yanaanza na h na yapi a.
 
Kulingana na mitandao yetu ilivyo hauna namna!
Kitu unachoweza kufany kuwa annoy kidogo watakaoiba ni Lock to the SIM card option.
hawezi tumia card nyingine na ifunge SIM yako na PIN.
Sina hakika kama akii flash hiyo lock inatoka
 
Kwa N70 kama ni yennyewe sio Mchina jaribu hii, http://tinyurl.com/2785noe
unapotumia Ant thieft program ni vizuri simu yako usiweke password sehemu yoyote ili atakaeitumia isimletee usumbufu utakao pelekea ku-iformat.
 
na simu Nokia N96 waweza ilinda vipi? Thanx.
Zipo njia nyingi angalia ilio nyepesi na yenye matumaini japo kidogo. N96 waweza jaribu na hii vilevile, http://tinyurl.com/2d6qunf kwa simu kama hizo ili uweze ku install prog yoyote must be hacked au uwe unaelewa ku sign prog, dowload, jaribu ku install, ukipata msg yoyote kuhusu certificate wakati una install njoo na hiyo msg tusaidiane ku-hack au ku-sign hiyo simu yako.
 
kwakweli akuna njia sahihi kwa mfumo wa kwetu unaoweza kukuhakikishia usalama wa 100 kwa 100 ukiibiwa cm yako hapa tz kwani mbinu zote mlizotaja hapa zinatatulika na cm inakuwa free kabisa kutoka kwa mmiliki halali kwenda kwa mwizi
 
Ni kweli! lakini kwakutumia prog hizi kama inavyo takiwa kuna asilimia 50 ya kupatikana simu ilioibiwa/potea. simu iliowekwa proggram hii haimletei usumbufu wowote mwizi/alieiokota, baada ya kuweka tu sim card nyengine hii prog ndio inaaza kufanya kazi, kitu cha kwanza ile icon ya prog ina disappear halafu namba ya simu ilio wekwa kwenye simu yako inatumwa kwako bila yeye kujuwa kwamba simu inatuma sms outomatic. so hatakuwa na sababu ya ku-iformat/flash. kuna mtu nilimuwekea program hii kwenye simu yake N70, yeye ilimpotea haikuibiwa, simu yake ilipatikana kwa msaada wa polisi.
 
http://tinyurl.com/2d6qunf [/B]kwa simu kama hizo ili uweze ku install prog yoyote must be hacked au uwe unaelewa ku sign prog, dowload, jaribu ku install, ukipata msg yoyote kuhusu certificate wakati una install njoo na hiyo msg tusaidiane ku-hack au ku-sign hiyo simu yako.

message, (drive the new drive unavailable. Try again). Hii inatokea wakati wa kuinstal. Any help pls
 
message, (drive the new drive unavailable. Try again). Hii inatokea wakati wa kuinstal. Any help pls
Mh! Una uhakika simu yako ni original? kwani ni msg tofauti na niliyo itegemea. ok! tutaona mbele ya safari, install hii MOBILE SIGNER http://tiny.cc/1my87 halafu njoo utueleze nini kimetokea.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom