Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 49,615
- 68,522
Kuna rafiki yangu kanichekesha hapa alienda kwa mpenzi wake ,ghafla mpenzi wake akamuambia naomba simu yako,heeee rafiki yangu si akampa simu huku machozi yanatiririka ,haahha..,,mpenzi wake akamuambia yaan simu tu unalia jamani kha
Yaan ananisimulia jinsi ambavyo akiombwa simu anakuwa hana amani anatamani hadi kulazwa
Ombi,ruksa kushikana na sio kushikiana simu aigooo
Yaan ananisimulia jinsi ambavyo akiombwa simu anakuwa hana amani anatamani hadi kulazwa
Ombi,ruksa kushikana na sio kushikiana simu aigooo