simu hizi na mapenzi jamani...

Frankness

Member
Aug 24, 2011
66
13
unachat na mpenzi wako...mambo yakawa hivi:

wewe: hey mpenzi, unafanya nini??

mpenzi: aaahhh...niponipo tu darling mechoka kichizi najiandaa kulala hapa, vipi wewe baby?

wewe: nipo club honey, infact nimesimama hapa nyuma yako ..


ungekuwa ndo weewe umebambwa au wewe ndo umembamba mpenzi wako,ungechukua hatua gani???
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom