Umecheki kitufe cha DO NOT DISTURB?Ni simu aina ya Infinix NOTE 7. Ghafla iliacha kutoa vibration.. Nimehangaika kufanya settings bila mafanikio, nimejaribu ku-restart simu wapi. Kipi naweza kufanya wataalam?
Anunue new phoneIpe break kidogo tatizo la kawaida tu
yah nenda kwafundi acheki njia za hiyo vibration au vibration yenyewe kama itakuwa vib. Anatoa anaweka nyingine haizidi 5,000Daaaa, hili linawezekana aisee..., kwahyo kuna namna ya kubadilisha?
ingekuwa inakufa kirahisi hivyo basi simu nyingi zingekufa vibration.Kama ulikuwa unaitumia kwenye chaji notification ikiingia inavaibrate basi ushauwa hiyo yakwenda kubadilisha
Hiyo inatokea mara chache kijanaingekuwa inakufa kirahisi hivyo basi simu nyingi zingekufa vibration.
Daaah kweli we ni cannabisWeka simu yako sauti mpaka mwisho halafu jaribu kupiga hii audio uone kama ita vibrate
View attachment 1941061