Simu haileti SMS delivery report

yello masai

JF-Expert Member
Jan 8, 2016
3,015
2,000
Msaada tafadhali,

Wakuu simu yangu Samsung note 4 huwa haileti na haioneshi delivery report nikituma SMS. Kila kitu nimeset vizuri upande wa message.

Pia haileti notifications za JF japo kila kitu nimeset vizuri. Nimejaribu ku uninstall na kuinstall upya JF App lakini wapi.

Shukrani.

Cc; CHIEF MKWAWA
 
Mwifwa

JF-Expert Member
Apr 3, 2017
38,570

Ivi JF App huwa inaleta delivery report?

Mimi nilidhani unazungumzia SMS za kawaida
 
yello masai

JF-Expert Member
Jan 8, 2016
3,015
2,000
Ivi JF App huwa inaleta delivery report?

Mimi nilidhani unazungumzia SMS za kawaida
Hujanielewa mkuu. Nimesema kwa upande wa JF haileti notifications, natumia JF mobile app. Kwa kawaida ikiingia message (PM), mtu akikuquote, etc. inatakiwa upate notification. Lakini mi sipati kwenye simu yangu.
 
Mwifwa

JF-Expert Member
Apr 3, 2017
38,570
2,000
Hujanielewa mkuu. Nimesema kwa upande wa JF haileti notifications, natumia JF mobile app. Kwa kawaida ikiingia message (PM), mtu akikuquote, etc. inatakiwa upate notification. Lakini mi sipati kwenye simu yangu.
Sasa mbona ulisema delivery report...

Uninstall na Install tena hiyo App
 
Mwifwa

JF-Expert Member
Apr 3, 2017
38,570
2,000
Hujanielewa mkuu. Nimesema kwa upande wa JF haileti notifications, natumia JF mobile app. Kwa kawaida ikiingia message (PM), mtu akikuquote, etc. inatakiwa upate notification. Lakini mi sipati kwenye simu yangu.
Nadhani wewe ujamuelewa kwanza(1) kaongelea sms za kawaida azirudishi delivery report(2) kaxungumzia apps ya jamii forum aimletei notification
.
 
The Humble Dreamer

JF-Expert Member
Oct 12, 2015
7,269
2,000
Hujanielewa mkuu. Nimesema kwa upande wa JF haileti notifications, natumia JF mobile app. Kwa kawaida ikiingia message (PM), mtu akikuquote, etc. inatakiwa upate notification. Lakini mi sipati kwenye simu yangu.
Hapo kwenye notification za jamii forums hata mimi naona aileti ila hapo nyuma ilikuwa inaleta saa sijui kama ni apps yenyewe au laah,wataalamu watatusaidia hapa
Tumia browser.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom