Scorpio Me
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 6,120
- 7,911
Hiyo ndi simu ya Dangote, inaitwa Nokia Vertu Signature. Bei yake ni $5000-$7500. Convert kwa pesa ya madafu, km 16.5M/= hivi.......Alhaji sio mtu wa kisport sport
Walionza kutumia touch screen 2013 utawajua tu.Mbona ni simu ya batani
Ya batani lakini iphone haingii ndani unaambiwaMbona ni simu ya batani
SatelliteInatumia vocha
Unaambiwa material used kumake hio kitu ni very expensiveIna nini cha ziada?
Na kuna watu walisema ni masharti ya mgangakuna watu humu walisema alhaj sio mpenda makuu
kuna watu humu walisema alhaj sio mpenda makuu
Hata kama ni bei kubwa lakin sio 16m mkuuHiyo simu huwa inatengenezwa kwa mikono kifaa kimoja kimoja, haitengezwi kwa mashine kama hizi nyingine,
ndomana inauzwa bei kubwa
Hehe hiyo hiyo unayoionaSasa mkuu simu ya kuuzwa pesa yote iko wapi hapo
Zaidi ya tvVip hyo cm ina tv ndan?
na ww kwa ujinga wako kila chenye tv ndio chenye gharama kubwaVip hyo cm ina tv ndan?