Simtaki mume wangu kabisa kimapenzi, akili yangu ipo kwa boyfriend wangu

sio mtu wa kuchuja yaani matumizi ya what if!!!
Najiuliza Sana. Lkn tatizo nafsi. Ni kweli huyu ana hela na maisha ya nje ni mazuri. Lkn linapokuja suala la consummation ndiyo nafsi haiko radhi.
 
Nina miezi 8 tu kwenye ndoa lakini nkmemkinai huyu mwanaume hatari. Akiingia chumbani harufu ya mwili wake (body scent) ikinijia tu mimi naingiwa na hasira na hapo hapo moyo unajikunja kabisa.

Usiku nakosa usingizi kabisa na kuanza kujuta kwanini niliamua kuolewa na huyu kaka.

Namfanyia visa anichokoze nipate sababu ya kumuacha lakini busara, upole na hekima yake vinanipa wakati mgumu sana.

Kuna wakati naamka usiku naingia chooni na simu nampigia video call boyfriend wangu ili tu nimuone au tuzungumze (japo kwa kunong'ona). Basi tutaangaliana kwa muda hata wa dakika kumi halafu narudi kitandani.

Nampenda toka moyoni boyfriend wangu huyu. Sikutaka kuolewa naye kwasababu hela hana, nikaamua niolewe na huyu mwenye hela.

Sasa moyo wangu haumtaki kabisa. Najilazimisha lakini nimeshindwa.

Naombeni ushauri nifanyeje?
Boya kweli wewe
 
Nafikiri kuna jambo ambalo hulifurahii kuhusu mwenzako, naona lijadili, kama hufurahishwi kwenye mambo ya chumbani, kuwa wazi zungumza na msomeshe mwenzako.

Kupenda sio hisia kupenda ni uamuzi wa moyo huwa hisia, hisia zinafuata uamuzi, hisia zinafuata uamuzi Jaribu kutamka kila siku nampenda mume wangu, acha mawasiliano na huyo hawara yako uliyemkataa.

Kwa kuwa ukiendelea jinsi hiyo utakwenda nje zaidi.
Hata huyo kijana mwingine naye anamatatizo kwanini aendelkeze mawasiliano na mtu aliyemkata kumwoa?
 
Mungu wangu!
....."Namfanyia visa anichokoze nipate sabb ya kumuacha lkn busara, upole na hekima yake vinanipa wakati mgumu sana."...

Ninaamini huyo unaemwita boy nini! Hana hizo sifa kabisa ndio maana anaendekeza muwasiliane na mke wa mtu aliemwacha akaenda kuolewa na mwenye pesa!

Busara, upole n hekima! Jumlisha pesa!!!!?
Jichunguze kuna laana katika familia yenu nenda kaombewe!

Anasumbuliwa na jini mahaba kali, linamkaza ndotoni linamtoa hisia zote si unaona jina lake hapo sexless huyo boyfriend anayemsema ni geresha , nashauri aongeze jitihada za kufukuza hayo majini mahaba yaliyomdhibiti na majini hayo ndiyo yanamfanya amchukie mume wake na huwaga yanamfanya amnyime mume wake unyumba ili yenyewe yaje usiku kumuingilia , nimewahi ona wadada wengi hasa makanisani wana mikada hiyo hata mwanaume ukivamiwa na majini inaota una sex waweza nawe jikuta hupendi mkeo au wanawake kwa jumla.
 
Nina miezi 8 tu kwenye ndoa lakini nimemkinai huyu mwanaume hatari. Akiingia chumbani harufu ya mwili wake (body scent) ikinijia tu mimi naingiwa na hasira na hapo hapo moyo unajikunja kabisa.

Usiku nakosa usingizi kabisa na kuanza kujuta kwanini niliamua kuolewa na huyu kaka.

Namfanyia visa anichokoze nipate sababu ya kumuacha lakini busara, upole na hekima yake vinanipa wakati mgumu sana.

Kuna wakati naamka usiku naingia chooni na simu nampigia video call boyfriend wangu ili tu nimuone au tuzungumze (japo kwa kunong'ona). Basi tutaangaliana kwa muda hata wa dakika kumi halafu narudi kitandani.

Nampenda toka moyoni boyfriend wangu huyu. Sikutaka kuolewa naye kwasababu hela hana, nikaamua niolewe na huyu mwenye hela.

Sasa moyo wangu haumtaki kabisa. Najilazimisha lakini nimeshindwa.

Naombeni ushauri nifanyeje?
Mungu akusamehe sana na ikiwezekana akurehemu! wenzio wanatafuta ndoa hadi kwa waganga wa kienyeji, ila hamna kitu. Kwangu mimi wewe ndo una matatizo wala sio yeye! Kama uliuona hana harufu nzuri, ulikubali akuoe ili nini, kwa nini umpotezee muda na gharama za kukuandaa kuwa mke, leo baada ya miezi nane umemchoka, serious kweli?! Watoto wa kike mnakimbilia ndoa, ila hamjui maana ya ndoa kabisa aisee, wewe raha yako ulitaka uonekane umevaa shela, watu wanakunywa na kula, huku wanacheza kwaito, ila kwenye kichwa chako neno "ndoa" ni sifuri kabisa!

Ushauri wangu kwako, acha kumkumbatia shetani kwenye mapaja yako, iangalie thamani yako na huyo aliyewaacha wanawake maelefu akakuoa wewe! Naliona anguko lako na umaskini wako mkubwa sana. Yaan unaamka kwenda kumpigia mtu mwingine usiku, eti tena chooni!? Hii ni roho ya shetani, wewe sio mke mwema kabisa!! Mrudie Mungu, maana ungekuwa na hofu ya Mungu usingeleta huu ushuzi wako hapa! Una nafasi ya kujirekebisha, acha kuangalia leo. Una uhakika gani huo boyfirend anakupenda na hatakua na kasoro? Si ajabu yeye ana harafu kama ya beberu ila kwa kuwa mlikua mnaonana mara chache, hukuweza ku note. Think twice!!!1!
 
Nina miezi 8 tu kwenye ndoa lakini nimemkinai huyu mwanaume hatari. Akiingia chumbani harufu ya mwili wake (body scent) ikinijia tu mimi naingiwa na hasira na hapo hapo moyo unajikunja kabisa.

Usiku nakosa usingizi kabisa na kuanza kujuta kwanini niliamua kuolewa na huyu kaka.

Namfanyia visa anichokoze nipate sababu ya kumuacha lakini busara, upole na hekima yake vinanipa wakati mgumu sana.

Kuna wakati naamka usiku naingia chooni na simu nampigia video call boyfriend wangu ili tu nimuone au tuzungumze (japo kwa kunong'ona). Basi tutaangaliana kwa muda hata wa dakika kumi halafu narudi kitandani.

Nampenda toka moyoni boyfriend wangu huyu. Sikutaka kuolewa naye kwasababu hela hana, nikaamua niolewe na huyu mwenye hela.

Sasa moyo wangu haumtaki kabisa. Najilazimisha lakini nimeshindwa.

Naombeni ushauri nifanyeje?
Na hii ni moja ya sababu kwann ndoa nyingi zina migogoro na hazidumu kwa sababu ya watu wenye TAMAA kama wew nataman kwa hasra hata kukutus lakin basi tu feeling bad for the situation
 
Nina miezi 8 tu kwenye ndoa lakini nimemkinai huyu mwanaume hatari. Akiingia chumbani harufu ya mwili wake (body scent) ikinijia tu mimi naingiwa na hasira na hapo hapo moyo unajikunja kabisa.

Usiku nakosa usingizi kabisa na kuanza kujuta kwanini niliamua kuolewa na huyu kaka.

Namfanyia visa anichokoze nipate sababu ya kumuacha lakini busara, upole na hekima yake vinanipa wakati mgumu sana.

Kuna wakati naamka usiku naingia chooni na simu nampigia video call boyfriend wangu ili tu nimuone au tuzungumze (japo kwa kunong'ona). Basi tutaangaliana kwa muda hata wa dakika kumi halafu narudi kitandani.

Nampenda toka moyoni boyfriend wangu huyu. Sikutaka kuolewa naye kwasababu hela hana, nikaamua niolewe na huyu mwenye hela.

Sasa moyo wangu haumtaki kabisa. Najilazimisha lakini nimeshindwa.

Naombeni ushauri nifanyeje?
Juzi uzi ulifutwa baadala ya kumpatia huyu jamaa Sexless ban ya maisha. Ona hapo juu anajitanabaisha kama mwanamke.
------

Hapa chini anajitanabaisha kuwa ni dume

Ningekuwa mwanamke ningekuwa nishaondoka kwenye Ulimwengu wa malavidavi. Maana ningekuwa nishazidi hata kwenye kiwango cha kuitwa makombo. Pengine ningeitwa ukoko kabisa.

Lakini kwa kuwa ni mwanaume aaaah! Natamba mtoto wa watu. Kwa mbaaali ndiyo naanza kufikiria kuoa.

Ndiyoo;! Si nagombaniwa na under 20. Sasa unataka nioe haraka halafu hawa watoto wazuri wanaonitamani watahudumiwa na nani?
Source: Kuwa mwanaume raha sana! Miaka 46 nagombaniwa na U20!

Hapa ni mwanamke

Hapa dume: Uchaguzi 2020 - Kamanda Mambosasa: Mbowe na wenzake kushtakiwa kwa makosa ya ugaidi, walipanga kulipua vituo vya mafuta
Mimi nimeshajiandaa na vijana wenzangu kama 70 hivi. Mabali na sisi Coaster kumi na mbili toka maeneo mengine ikiwemo Arusha ziko njiani muda huu.

Hapa Jike:
Mm sijajolewa na natamani siku ifike nije nimpate wangu wa peke yangu atakaye nipenda kwa dhati ya moyo wake. Halafu atulie tuli. Bila hivyo siolewi.

Mpk sasa nina miaka 29, lkn kila nikitaka kuingia kwenye ndoa moyo unasita. Kwasabbb tangu nipevuke nimekuwa natongozwa na wanaume (lkn walio wengi ni waume za watu).

Sasa najiuliza inamaana na mm nikiingia kwenye ndoa mume wangu atakuwa anachepuka kama hawa? Sasa kama una mume halafu kucha kutwa anahaingaika na akina dada wa kitaa, nini maana yake?

Ndoa nn faida yake ikiwa hata ukiwa nayo mwenzi wako anachepuka?

Wanawake wengi wameridhika na ujinga huu. Ukiongea nao wanasema "wanaume ndiyo walivyo au wanaume hawaridhiki". Sasa kama hawaridhiki? Ndiyo nijiingize kwenye kitu hatari? Nikipata magonjwa je?

Kwa ujinga huu, siolewi.
 
Nina miezi 8 tu kwenye ndoa lakini nimemkinai huyu mwanaume hatari. Akiingia chumbani harufu ya mwili wake (body scent) ikinijia tu mimi naingiwa na hasira na hapo hapo moyo unajikunja kabisa.

Usiku nakosa usingizi kabisa na kuanza kujuta kwanini niliamua kuolewa na huyu kaka.

Namfanyia visa anichokoze nipate sababu ya kumuacha lakini busara, upole na hekima yake vinanipa wakati mgumu sana.

Kuna wakati naamka usiku naingia chooni na simu nampigia video call boyfriend wangu ili tu nimuone au tuzungumze (japo kwa kunong'ona). Basi tutaangaliana kwa muda hata wa dakika kumi halafu narudi kitandani.

Nampenda toka moyoni boyfriend wangu huyu. Sikutaka kuolewa naye kwasababu hela hana, nikaamua niolewe na huyu mwenye hela.

Sasa moyo wangu haumtaki kabisa. Najilazimisha lakini nimeshindwa.

Naombeni ushauri nifanyeje?
Sawa.
Mpo na ndoa ya kanisani or kiislamu.
 
Naombeni ushauri nifanyehum
Dah kazi ipo
 
Ukifa ndoa yako ndo imefikia tamati hivyo unakuwa huru kuolewa na yeyote yule umtakaye.
 
Nina miezi 8 tu kwenye ndoa lakini nimemkinai huyu mwanaume hatari. Akiingia chumbani harufu ya mwili wake (body scent) ikinijia tu mimi naingiwa na hasira na hapo hapo moyo unajikunja kabisa.

Usiku nakosa usingizi kabisa na kuanza kujuta kwanini niliamua kuolewa na huyu kaka.

Namfanyia visa anichokoze nipate sababu ya kumuacha lakini busara, upole na hekima yake vinanipa wakati mgumu sana.

Kuna wakati naamka usiku naingia chooni na simu nampigia video call boyfriend wangu ili tu nimuone au tuzungumze (japo kwa kunong'ona). Basi tutaangaliana kwa muda hata wa dakika kumi halafu narudi kitandani.

Nampenda toka moyoni boyfriend wangu huyu. Sikutaka kuolewa naye kwasababu hela hana, nikaamua niolewe na huyu mwenye hela.

Sasa moyo wangu haumtaki kabisa. Najilazimisha lakini nimeshindwa.

Naombeni ushauri nifanyeje?
Pole Sana dada.Kwenye ubongo Kuna sehemu ukiwa unasema UONGO mara KWA mara huwa inaathirika KABISA na kuondoa Ile Hali ya ubinadamu ikiwa Ni PAMOJA na kumuheshimu mume usimcheat .Ukiendelea hivyo inaharufu kabisa ndoa YAKO kufikia tamati yake hapo KWA kuwa umekosea huna urazini badala yake taqriban ZOTE sifa ulonazo Ni UHAYAWANI
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom