Simtaki mume wangu kabisa kimapenzi, akili yangu ipo kwa boyfriend wangu

Nina miezi 8 tu kwenye ndoa lkn nkmemkinai huyu mwanaume hatari. Akiingia chumbani harufu ya mwili wake (body scent) ikinijia tu mm naingiwa na hasira na hapo hapo moyo unajikunja kabisa.

Usiku nakosa usingizi kabisa na kuanza kujuta kwann niliamua kuolewa na huyu kaka.

Namfanyia visa anichokoze nipate sabb ya kumuacha lkn busara, upole na hekima yake vinanipa wakati mgumu sana.

Kuna wakati naamka usiku naingia chooni na simu nampigia video call boyfriend wangu ili tu nimuone au tuzungumze (japo kwa kunong'ona). Basi tutaangaliana kwa muda hata wa dakika kumi halafu narudi kitandani.

Nampenda toka moyoni boyfriend wangu huyu. Sikutaka kuolewa naye kwasabb hela hana, nikaamua niolewe na huyu mwenye hela.

Sasa moyo wangu haumtaki kabisa. Najilazimisha lkn inimeshindwa.

Naombeni ushauri nifanyeje???
 
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duuuh...we Dada unashangaza xana, kabla sijakushauri naomba kwanza nikuulize maswali mawili then ukinijibu nitakupa ushauri mzuri badae, swali la kwanza kama uliolewa na mmeo kwa sababu ya pesa zake Je vp siku akifilisika utachukua maamuzi gani ? (because money comes and go) na swali la pili kama hukutaka kuolewa na boyfriend wako umpendae kisa hana hela Je unadhan kwamba huyo boyfriend hatopata pesa maisha yake yote ? Ani ndo uwezo wake wa kutafta pesa umeishia hapo au ulimwonaje ww !
 
Mungu wangu!
....."Namfanyia visa anichokoze nipate sabb ya kumuacha lkn busara, upole na hekima yake vinanipa wakati mgumu sana."...

Ninaamini huyo unaemwita boy nini! Hana hizo sifa kabisa ndio maana anaendekeza muwasiliane na mke wa mtu aliemwacha akaenda kuolewa na mwenye pesa!

Busara, upole n hekima! Jumlisha pesa!!!!?
Jichunguze kuna laana katika familia yenu nenda kaombewe!
 
Kama kuna kosa utakuja kujutia maisha yako yote n hilo la kumwacha mumeo kisa uyo bf wako na ukienda kwa uyo bf wako atakuona we n mwanamke punguani na unaweza kumuacha yeye vile vile kama ulivomuacha uyu wa kwanza mvumilie na umpende mumeo tena ukamuheshim yatakayo kuja kukuta utalia wewe utaona dunia nzima wewe tu ndo unamatatizo
Tuliza kiuno chini mheshim mumeo tena io Tabia ya kuongea na sim na icho kiboyfriend Ife kwa jina la Yesu
 
Daaa nlieahi kuwa na dem mke wamtu alikuwa akiingia kuoga bafuni ananipigia vireocall anaweka dirishani anaoga nikiwa nmwona hadi anamaliza. Akirudi ananipigia video call mmewake akiwa uchi wa mnyama namwona pia
Subili na we uje uoe utakuja apa kutusimulia what goes around comes back around mwanaume mwenye akili timam hawezi vumilia kumuangalia mwanaume mwenzie akiwa uchi
Wacha uone vile dunia inazunguka agiza pepsi baridiiiii na uenjoy movie
Kale kamke dunia itakupa hutaamin afu katakuwa the best of all ili katakapo kuja kukuonesha karangi kake moyo unapigwa shoti ya hatari
 
Similar Discussions

16 Reactions
Reply
Back
Top Bottom