simple wedding

attachment.php
 
Napenda harusi za kijijini, hakuna invitation card, kila mtu anapewa chakula. Zamani tulikuwa tunawatembeza maharusi toka kanisani mpaka nyumbani kwa miguu, naona sasa kuna maendeleo bodaboda za tumika.
 
haina gharama hiyo japo dereva wa bodaboda alitakiwa awe bestman ili matron naye apate nafasi
 
hii nitafurahi nikiiona kwenye tbc chereko
wamependeza sana, no complications kabisa
 

Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom