Simple research ....wanawake wazuri ndio wanaongoza

Baba Kapompo

JF-Expert Member
Sep 11, 2013
1,344
460
Kama title isemavyo ....et wana JF hiv ni kweli wanawake wanaonekana ni wazur/warembo/muonekano mzuri ktk jamii ndio wnaongoza kwa umalaya kwa asilimia kubwa ?....
 
hao wazuri unawafananisha na nani? huwezi sema huyu mzuri kama hujamuona mbaya... we need to know ur benchmark......
 
Beautiful flowers attract many bees!

Precisely YES! mnawasifia sana mademu bomba lazima nimpate, unaweka dau kuuuubwa, kumbe mko wengi mnamtamani ha yeye anapata kitega uchumi. ukishamla unataka kumiliki peke yako, ndo hapo sasa majina yanakuja
 
Navyojua mimi wanawake wooooote Mungu katuumba wazuri na tumeumbwa kuwa pambo la nyumba.

Back to your topic, sijaelewa unazungumzia uzuri wa namna gani, ungesema wanawake wenye mvuto wa kimapenzi hapo ningekuelewa labda ufafanue kidogo ili na mm nielewe na niweze kutoa maoni yangu
 
Not always, sometimes cheap things has many buyers!

Ni jinsi tu unavyoangalia kitu.

Umalaya ni tabia tu. Tena ukweli ni kwamba wanawake wengi wazuri sana wanaogopwa na wanaume wa kawaida. I mean it takes a man with tons of guts to go for it.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom