SIMPLE MIND DISCUSS PEOPLE, AVERAGE MIND DISCUSS EVENTS,GREAT MIND DISCUSS ISSUES.
Ninasikitishwa sn na baadhi ya wanjf wanaoanzisha threads za kujadili watu badala ya kujadili mambo ya msingi.It does'nt reflect the jf slogan of great thinkers.
Kuna mambo mengi ya msingi kuhusu nchi yetu ambayo tunapaswa kutumia muda wetu (time is money) kujadili.Kwa mfano:tufanye nini kuikoa nchi yetu na rushwa.Badala ya kuangalia the root cause ya ufisadi tunatumia muda mwingi kuitana majina ooh fulani ni fisadi nk.Hivi kumuita mtu fisadi inasaidia lolote? Tunatakiwa kama wtz tuweke pembeni maslahi ya vyama tuiangalie nchi yetu tutoe michango yetu ya namna ya kuboresha maisha ya watu wetu,maana njaa haibagui chama.Mimi ninakoishi hakuna maji ya bomba lakini hii haitubagui kwa vyama.
Let us be siriasi plizi