Simple mind discuss people-mara mnyika,zitto,h.rashid nk | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Simple mind discuss people-mara mnyika,zitto,h.rashid nk

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by KALAMAZOO, Dec 1, 2010.

 1. K

  KALAMAZOO JF-Expert Member

  #1
  Dec 1, 2010
  Joined: Nov 27, 2010
  Messages: 265
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  SIMPLE MIND DISCUSS PEOPLE, AVERAGE MIND DISCUSS EVENTS,GREAT MIND DISCUSS ISSUES.

  Ninasikitishwa sn na baadhi ya wanjf wanaoanzisha threads za kujadili watu badala ya kujadili mambo ya msingi.It does'nt reflect the jf slogan of great thinkers.
  Kuna mambo mengi ya msingi kuhusu nchi yetu ambayo tunapaswa kutumia muda wetu (time is money) kujadili.Kwa mfano:tufanye nini kuikoa nchi yetu na rushwa.Badala ya kuangalia the root cause ya ufisadi tunatumia muda mwingi kuitana majina ooh fulani ni fisadi nk.Hivi kumuita mtu fisadi inasaidia lolote? Tunatakiwa kama wtz tuweke pembeni maslahi ya vyama tuiangalie nchi yetu tutoe michango yetu ya namna ya kuboresha maisha ya watu wetu,maana njaa haibagui chama.Mimi ninakoishi hakuna maji ya bomba lakini hii haitubagui kwa vyama.
  Let us be siriasi plizi
   
 2. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #2
  Dec 1, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,174
  Likes Received: 892
  Trophy Points: 280
  Mtu aliyesoma ST. Joseph unamjua tu.

  No issues without people.
   
 3. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #3
  Dec 1, 2010
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,548
  Likes Received: 18,218
  Trophy Points: 280
  To discuss people ni kama unajadili, fulani kala nini, kavaa nini, anakaa wapi, anaendesha gari gani, anatembea na nani etc, zile issues ambazo ni personal na hazina maslahi kwa taifa. Kujadili mtu, mfano Mhe.Zitto, kauli zake na matendo yake as far as chama chake kinahusika, huku pia ni kujadili ideas, hivyo justification ya great mind bado inasimama kutegemeana na subject matter na sio ile kutaja taja tuu majina na mistari iso vina!
   
 4. N

  Ngandema Bwila JF-Expert Member

  #4
  Dec 1, 2010
  Joined: Sep 8, 2010
  Messages: 1,000
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Usikalili mh. Ufisadi unafanywa na watu, Hatuta acha kusema KAgoda na RA, RADA na Mh Change, na hii inasaidia sana kuwapa ujumbe kwamba pindi kinga/ccm yao ikiondolewa watatarudishia vijisenti vyetu. Kina Wetangura, Ruto wanatengeneza habari. Uanaogopa nini tukisema fulani ni FISADI na HASA kama Mtu anakili ana vijisenti New Jersey. kwani bilioni 1 angeweka NBC, CRDB , NMB hata ungekopa mkuu.
   
 5. NewDawnTz

  NewDawnTz JF-Expert Member

  #5
  Dec 1, 2010
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 1,675
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
   
 6. K

  KALAMAZOO JF-Expert Member

  #6
  Dec 1, 2010
  Joined: Nov 27, 2010
  Messages: 265
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  you must be simple mind that now you are discussing me instead of discussing the issue
   
 7. BLUE BALAA

  BLUE BALAA JF-Expert Member

  #7
  Dec 1, 2010
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 899
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Acha kupotezea watu muda na thread zako zisizko na kichwa wala miguu, watu wako serious hapa tuna changia lakini pia tunajenga taifa. Usidhani tumekaa tunakula kahawa tu.
   
 8. jyfranca

  jyfranca JF-Expert Member

  #8
  Dec 1, 2010
  Joined: Oct 3, 2010
  Messages: 299
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Yes, we need to discuss our politician if they are competent and able to lead us, go back to school
   
Loading...