Simpendi Kongosho wa JF najisikia kumchukia tu from no where.

Wa kusoma

JF-Expert Member
Jul 30, 2011
3,454
2,975
Sijui ni kwa nini nikiona thread zake nachukia, nikiona alipochangia natamani nifute coments zake hlf huyu mtu simjui hanijui lkn hata sielewi kwa nini simpendi.

Najua mpo wengi wenye chuki na watu/mtu humu JF hebu tueleze nani humpendi humu JF na nani unampenda? Hata thread zake unazipenda. Mimi nampenda EXCELLENT.
 
we kweli ndo wakusoma khaa...
sasa hivi tuko kwaresma tunahimizwa kupendana so ur request is been rejected hapa ni upendo tu chuki zako peleka huko huko alaa..
 
Excellent huyu ulietangaza vita nae juzi hapa....? na Kongosho amekufanya nini mbona huwa hana ugomvi na mtu....?....
 
Wakusoma shikamoo kaka.vpi umeingia lini humu? Wazima lakini huko utokako?
 
Hata ukimpenda haitomsaidia kitu maana hali kwako, halali kwako kwahiyo we jiachie tu.
 
Sijui ni kwa nini nikiona thread zake nachukia, nikiona alipochangia natamani nifute coments zake hlf huyu mtu simjui hanijui lkn hata sielewi kwa nini simpendi.

Najua mpo wengi wenye chuki na watu/mtu humu JF hebu tueleze nani humpendi humu JF na nani unampenda? Hata thread zake unazipenda. Mimi nampenda EXCELLENT.

Duniani kuna mambo!
 
Nimeamini majina yana maana sana.
Complicator, you are too complicated.
Ni ngumu sana watu kukuelewa.

Yaani huli hulali nila sikia jina langu?
Ungejua jinsia yangu ungeniogopa sana

(nakunong'oneza) usijali, na bio oil.....
 
Yaani huyu ni wakusoma Pure.

Mbona Kongosho post zake zina mvuto sana. Binafsi napenda kusoma post zake. Japokuwa sina ninayemchukia.

Ila kuna cult ya watu fulani hivi wa dini fulani hivi wanapenda sana udini. wanachukia chama fulani na kupenda chama fulani kwasababu ya ratio ya udini kwa viongozi wao.

Niseme ukweli hawa wapenda udini huwa hawanifurahishi kabisa.

Hebu vuta hisiwa kama JF mada za kisiasa zingekua zinajadiliwa bila Upendelea wa kidini mambo yangekuwaje?
 
utamchukiaje mtu ambaye humjui? Tena anayetumia id ya kutunga? Kwa sababu tu anapost mtandaoni? Unahitaji msaada wa haraka wewe.

All in all mie napenda post za Kongosho, zina ujumbe na very funny, na ana vijineno fulani ambavyo vinanikosha
 
We naye unezidi kiherehere jana vita na Excellent leo humpendi Kongosho na Kesho
Utataka kumuua nani ..?

Chuki zako zakijinga kweli ..
Utamchukia Vipi mtu bila sababu mbaya
Zaidi hata haumfahamu .. em punguza ku
Tafuta umarufu kwa nguvu ..
 
Afu na mie sikupendi hata kidogo. Kwaresma hii nimefunga kuongea na wewe.
Hiyo bio oil, mweeh! Ndo m'badala wa naniliu? Ngoja mwezi wa toba uishe basi.
Nimeamini majina yana maana sana.
Complicator, you are too complicated.
Ni ngumu sana watu kukuelewa.

Yaani huli hulali nila sikia jina langu?
Ungejua jinsia yangu ungeniogopa sana

(nakunong'oneza) usijali, na bio oil.....
 
Yaani huyu mtu nikiona post zake lzm nizisome maana zinachekesha afu tena zina mafunzo fulani ndani yake. HEKO KONGOSHO
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom