Simpendi E.Lowasa, ila kwa hili la Arusha ana hekima mara elfu kuliko Makamba

nashukuru sana ndg zangu kwa michango yenu, nadhani tunakubaliana wote kwamba huyu fisadi kamzidi hekima mkurupukaji Makamba anaejaribu kushawishi watu kwa maandiko (biblia na qurani) ili wamuone wa maana, wakati ki ukweli hajui hata kuyachambua hayo maandiko kazi yake kuwaita wenzake wadini.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom