Kweli kabisaWachoraji ni wasanii sana wanavyoanza kuchora wanachora kama madudu ikiisha inatoka picha halisi
ha ha haaa, asimulie kwa seasonHapo lazima asimulie kwa season
Yaani unaweza pasua mtu.Yaan kapewa kazi yeye anachora madudu.. Hahaaahaa hapo lazma pawe allepo
Aiseee!! Amemchora kinguruwe kina mabawa na nyuki