britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 15,636
- 30,004
- Thread starter
- #41
kweli nadhani atakaye angalia mabaya tu ya Nyerere bila kuangalia mazuri hamtendei haki kabisa maana Nyerere alikuwa na haki kama wanadamu wengine tusimuweke katika level za malaika, lakin watu wanaangalia mapungufu yake tu bila kuangalia upande wa piliMwalimu J K Nyerere alileta umoja wa kitaifa, ambapo hakumalizia ilitakiwa maraisi wengine wamalizie.
Ila kuna mabwanyenye wanajifanya kumkosoa kwa mlengo wa kumdharirisha,
bado tuna imani na falsafa zake nzuri, yale machache aliyokosea tunayarekebisha kwa kumpa heshima.
Mlitaka ubepari kwa mgongo wa demokrasia, mwalimu Nyerere akawaachia lakini ubepari nao umewashinda sasa hamjui mnaelekea wapi(hapa naongea na wasaliti wa Nchi hii).