Simon Kibona and G Rutihinda... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Simon Kibona and G Rutihinda...

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Dark City, Nov 12, 2010.

 1. Dark City

  Dark City JF-Expert Member

  #1
  Nov 12, 2010
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 16,277
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160
  Ndugu wadau,

  Baada ya kusoma post ya Kamongo (https://www.jamiiforums.com/habari-na-hoja-mchanganyiko/86879-stan-katabaro.html), nimepata huzuni sana kujiwa na kumbukumbu za baadhi ya Watanzania wenzetu waliotangulia mbele ya haki katika mazingira ya kutatasha huko nyuma.

  Nimeanza kuweka hawa ndugu zetu na naomba wadau waonegezee na wengine ili tuweke kumbukumbu zetu sawa. Pia tuweze kuwakumbuka watu hawa kwa mchango wao mkubwa katika taifa letu,

  1. Stephen Kibona: Alikuwa waziri wa fedha katika serikali ya Mwinyi. Inasemekana alikuwa Waziri bora wa wizara hiyo kuliko mtu mwingine yeyote. Inadaiwa kuwa alikosana na Rais Mwinyi baada ya kukataa kumpatia pesa mkewe (Mama Sitti Mwinyi). Aliondolewa kwenye hiyo wizara na baadaye alikufa kifo chenye utata.

  2. Gilman Rutihinda: Sina details zake ila alikuwa Governor wa BOT. Nasikia naye kifo chake kiliacha mashaka makubwa.

  3. Horace Kolimba: Alikuwa Katibu Mkuu wa CCM. Alifariki baada ya kuhojiwa na CC ya CCM huko Dodoma kwa kilichodaiwa kuwa alikidhalilisha chama kwa kusema kuwa kimepoteza dira na hakina mwelekeo.

  4. Kigoma Malima: Alikuwa waziri wa fedha katika serikali ya Mwinyi na mwenye mambo mengi yenye utata. Alimwandikia Rais memo ambayo iliibuliwa na kutolewa na gazeti la Family Mirror akimtaka Mwinyi afanye upendeleo kwa Waislamu eti wameachwa nyuma sana. Aliihama CCM na kujiunga na upinzani kabla ya uchaguzi wa 1995. Alifariki ghalfa kabla ya kugombea urais.

  5.

  6.
   
 2. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #2
  Nov 12, 2010
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  1. Not Simon -- Stephen Kibona... Alishidwa Ubunge Wilayani kwake... na ilikuwa chama kimoja kwahiyo wakati anafariki hakuwa Mbunge alikuwa Raia wa kawaida.
  4. Kighoma Malima -- Unaona Matunda yake --- Jakaya Mrisho Kikwete... Mwinyi quickly Upgraded him

  how wengine sijui lakini kulikuwa hakuna foul play on Stephen Kibona
   
 3. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #3
  Nov 12, 2010
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Thanx DC kwa habari hii umenikumbusha mbali kidogo especially kwa Gilman Rutihinda went school with his daughter
   
Loading...