SIMNET tz app (spy app ya kitanzania)

jina baya

JF-Expert Member
Mar 12, 2014
573
377
Hellow JF

Leo katika kuperuzi kwenye mtandao nikakutana na hii kitu inaitwa sim net ambayo ipo google playstore
Ni app ambayo unai download katika simu yako kisha unaingiza namba za mtu unayetaka kumfuatilia taarifa zake iwe kwenye calls, messages na whatsapp.

Ila app yenyewe ni ya kulipia 35,000/=
kwa kuikuta playstore naamini ni app ya kuaminika so kama kuna yeyote ambaye amewahi kuitumia kutoka hapa jf aniambie kabla sijaamua kuanza kudukua mawasiliano ya mai lav
 
app yenyewe ipo hivi
 
Attachments

  • 1452274111596.jpg
    1452274111596.jpg
    48.5 KB · Views: 95
bado nasubiri walioitumia maana naona mnao comment mmekuja kwa hasira wakati mie ni kama mteja tu na nimeuliza kwa ambae ameshawahi kujaribu ili atuambie kama ni app ya kuaminika!!!!
 
jamani hakuna ambae ameshawahi ku jaribu?
 
Attachments

  • 1452275622815.jpg
    1452275622815.jpg
    22.9 KB · Views: 72
Nimekua na mtazamo tofauti na wachangiaji wenzangu.
Mleta uzi ameuliza kama kuna yeyote amewahi kutumia spy application iliopo kwenye play store?
Zaidi sioni kama mdau anapewa jibu la maana, zaidi watu mnachangia kwa mihemko pasipo jibu la swali la msingi.
Tatizo linalo liona hapa jf ni pale Mchangiaji wa mwanzo ( be the first to reply) akianza na mawazo chanya/ hasi, basi kila mmoja huelekeza mtazamo kwa mrengo wa mchangiaji wa kwanza
 
mkuu umeonesha ustaarabu wa hali ya juu sana!
by the way ni curiosity imenifanya niulize kama kuna mdau yoyote anaifahamu nisijeingia kichwa kichwa nikaliwa pesa bure.
thanks for contribution
 
Nimekua na mtazamo tofauti na wachangiaji wenzangu.
Mleta uzi ameuliza kama kuna yeyote amewahi kutumia spy application iliopo kwenye play store?
Zaidi sioni kama mdau anapewa jibu la maana, zaidi watu mnachangia kwa mihemko pasipo jibu la swali la msingi.
Tatizo linalo liona hapa jf ni pale Mchangiaji wa mwanzo ( be the first to reply) akianza na mawazo chanya/ hasi, basi kila mmoja huelekeza mtazamo kwa mrengo wa mchangiaji wa kwanza
Mkuu mkemia mkuu kasema 40% ya wanetu ni fake sasa bado tuwafuatilie na mama zao tujue kama wanagongwa ya kazi gani wakati jibu tulishapata?
 
Back
Top Bottom