kabingo
Senior Member
- Oct 16, 2015
- 115
- 118
Wadau habari ya jioni, siku za hivi karibuni niliona application mpya ya kitanzania kwenye play store yenye uwezo wa wakuhack mawasiliano ya mtu mwingine tena bila yeye kujua naomba kujua tcra hili likoje siniuvunjifu wa sheria kuingilia mawasiliano ya mtu bili ridhaa yake,mmekubalije kutoa hicho kibali kwa simnet kufanya hivyo tena kibiashara? Naomba kuwasilisha.