Superbug
JF-Expert Member
- Jan 31, 2018
- 12,415
- 30,925
Nakiri wazi 100% ya wakosoaji humu hawana uwezo wa kukabiliana na rais siku wakikutana nae ana kwa ana yale mamlaka yanatisha usiombe kukutana na magufuli akiwa kwenye full gear halafu ukiwa na matatizo yanayoathiri utendaji.
Kiufupi simlaumu yule waziri alieshindwa kula kiapo alitawaliwa na uoga hofu na kitisho Cha mamlaka ya Urais.
Namuomba (mzee Jpmagufuli) sio rais jp magufuli amtafutie kazi au nafasi nyingine atakayoona inamfaa kuteleza c kuanguka. Kama kina nape walisamehewa yeye ninani hata asipate msamaha huo kosa lake ni hofu na woga na si uhaini.
Wengi wetu tunamuona rais kwenye TV omba siku moja ukutane nae uso kwa uso ndio utaelewa Nini kilimkuta yule waziri.
Mkulungwa makusudi.