Chakaza
JF-Expert Member
- Mar 10, 2007
- 40,319
- 72,747
Sifa zikitafutwa kwa nguvu huwa ni kero na ushamba. RPC wa Simiyu katangaza rasmi kwenye vyombo vya habari kuwa hairuhusiwi katika mkoa wa Simiyu kuvaa t shirt zilizoandikwa NJAA INAUMA kwani ni uchochezi.
Hili ni jambo la ajabu sana katika nchi huru, jee watu wakivaa t shirt zimeandikwa NJAA TUNAIPENDA ndio itakuwa sio uchochezi Bali hamasa ya Maendeleo?
Hawa wateule waache kutafuta sifa zisizo na maana kwani zinalitia aibu taifa kuonekana ni la karne iliyopita.