Simiyu: Mkoa wenye sifa ya kipekee kwa siasa za upinzani Tanzania

.. utakumbuka manenono yangu kikubwa andaani pembasi na nepi make mtatikiswa sana mlianza na shetani mtamaliza na shetani.

CCm ni sikio la kufa, wanamsemo wao "CCm ina wenyewe na wenyewe ndiyo CC"! Kwa hiyo itaendelea kuweka wagombea inao wataka na kupuuza maoni ya wananchi-hiindiyo tabia ya CCm-angalia maoni ya serikali 3!

Kwenye red inaonyesha ni kwa nini uko CCm, bora ungesoma hata sekondari ya kata ungetoa ujinga!
 
makoye78 pamoja kwa sana tuu...Ila kusema ukweli Bariadi ndo ina historia kubwa ya MAGEUZI wengine wanajaribu tuu, Kama watu watakumbuka hata kipindi cha Mkapa alisema kabisa ingawa sina source kuwa akipita Mbunge yeyote toka CCM Bariadi anapewa Uwaziri na ikatimia alipopita Chenge na kupewa Uwaziri....
 
Last edited by a moderator:
Niwasaidie kwa hili,mimi ni mzawa wa jimbo la busega,kata ya mwamanyili tarafa ya busega,hoja ya kwamba busega imewahi kuwa ya upinzani si sahihi,UDP mwaka 97 wakiongozwa na cheyo kama mgombea wao walishinda jimbo la MAGU,ulikuwa uchaguzi mdogo kufuatia kifo cha mbunge wa magu bwana MALAKI,nadhani mleta hoja alipitiwa,
Kuna suala la msingi mleta maada kaligusia nalo ni juu ya wananchi kukichoka chama tawala,hili halihitaji mjadala,wananchi wamechoka na CCM,zinatumika nguvu kujiaminisha miongoni mwa wanaccm kuwa bado wanapendwa,wananchi wamezidi kuwa masikini mara dufu,hawaijui kesho yao,vijana hawana ajira,viwanda vya pamba ccm wametafuna vyote,nassa ginnery na ngasamo ginnery sasa ni magofu,ili kupunguza ukali wa maisha vijana sasa wameamua kuvuta bangi,wanabusega wanahitaji fikra mpya,baadhi ya maeneo CHADEMA wapo na wanakubalika,CHADEMA ONGEZENI NGUVU BUSEGA TUTAWAPOKEENI

Cc:Dr.W Slaa.
 
Ni mkoa uliopatikana baada ya kugawanywa kwa mkoa wa Shinyanga na eneo dogo la mkoa wa Mwanza.Unazo wilaya tano na majimbo saba ya uchaguzi.

Wananchi wa mkoa huu wanapenda sana upinzani na kuichukia vilivyo CCM.Sifa ya kipekee kabisa ambayo haijawahi kutokea kwenye mikoa mingine nchini(ukiondoa mikoa ya Pemba) ni kwamba, MAJIMBO YAKE YOTE SABA YAMESHAWAHI KWENDA UPINZANI KWA VIPINDI TOFAUTI.hata sasa,majimbo manne yako UPINZANI na matatu yako CCM.

Majimbo haya,chama na miaka ya kuwa upinzani ni kama ifuatavyo: Brd means Bariadi, 1:Brd magh-udp(95-05) 2:Brd mash-udp(95-04,then05 hadi sasa) 3: Busega-udp,(97-00) 4:Kisesa-udp(95-04). Matatu yaliyobaki ni Maswa magh na mash,pamoja na Meatu,haya yote yako CHADEMA toka 2010 hadi sasa.

UDP kilikuwa chama chenye nguvu ila kwa sasa kimepoteza mwelekeo na kujikuta kikipoteza pia halmashauri ya wilaya ya Bariadi.

Wananchi wa mkoa huu hawataki kabisa kuisikia CCM hata baada ya UDP kufa na wanakiomba CHADEMA kikaimarishwe pale.

WITO:CHADEMA tembeleeni Simiyu yote. Ni mbunge Mpina tu wa Kisesa ndiye mwenye unafuu kwa CCM. Kamani wa Busega kachokwa,Chenge kaapa hatagombea tena kisa CCM haipendwi.

Pamoja na kuwaletea maendeleo wananchi (kama asemavyo) mara zote anatumia nguvu kubwa mno ya pesa kushinda.

Cheyo nae hana mrithi,amezeeka na UDP yake inakufa.Fununu zilizopo anataka kuliachia jimbo kwa magamba.

HIYO NDIO SIMIYU NA CHADEMA IKIJIPANGA INAWEZA KUCHUKUA MAJIMBO YAKE YOTE 2015.

Cc:DR.W.SLAA,kurugenzi ya habari chadema,Ben saa nane,Mnyika
 
Hahahahaaaa mkuu Magulumangu, nakumbuka wakati najiunga JF mwishoni mwa mwaka 2010, nilijaza ID ya magulumangu ikagoma kuashiria kuwa kuna mtu tayari anatumia ID hiyo! Karibu sana Ntagwasa!!
Back to the topic, mie nakumbuka CCM baada ya kumnunua Makanga 2003/04, wakati wa uchaguzi mdogo mpambano kati ya MAKANGA (CCM) vs JOHN CHEYO (UDP), Top layer ya CCM wakiongozwa na Mkapa, Steven Mashishanga et al wote waliishia Bariadi kumpigia kampeni makanga ili ashinde! Nguvu kubwa sana ya pesa na policccccmmmm ilitumika kuwahadaa wananzengo na hapo Cheyo akashindwa kwa kula kiduchu, na katika uchaguzi mkuu 2005 CCM ngoma ikawashinda kuicheza na Cheyo akawa mbunge mpaka ntondo!!
makoye78 pamoja kwa sana tuu...Ila kusema ukweli Bariadi ndo ina historia kubwa ya MAGEUZI wengine wanajaribu tuu, Kama watu watakumbuka hata kipindi cha Mkapa alisema kabisa ingawa sina source kuwa akipita Mbunge yeyote toka CCM Bariadi anapewa Uwaziri na ikatimia alipopita Chenge na kupewa Uwaziri....
 
Hahahahaaaa mkuu Magulumangu, nakumbuka wakati najiunga JF mwishoni mwa mwaka 2010, nilijaza ID ya magulumangu ikagoma kuashiria kuwa kuna mtu tayari anatumia ID hiyo! Karibu sana Ntagwasa!!
Back to the topic, mie nakumbuka CCM baada ya kumnunua Makanga 2003/04, wakati wa uchaguzi mdogo mpambano kati ya MAKANGA (CCM) vs JOHN CHEYO (UDP), Top layer ya CCM wakiongozwa na Mkapa, Steven Mashishanga et al wote waliishia Bariadi kumpigia kampeni makanga ili ashinde! Nguvu kubwa sana ya pesa na policccccmmmm ilitumika kuwahadaa wananzengo na hapo Cheyo akashindwa kwa kula kiduchu, na katika uchaguzi mkuu 2005 CCM ngoma ikawashinda kuicheza na Cheyo akawa mbunge mpaka ntondo!!

Hahah muuza ubuyu mie mhango pale (Mbiti), Cheyo namba nyingine ile, lile jamaa mpaka lenyewe litoke tu, Wana Simiyu ndo wanamageuzi ya kweli, mkuu, mbina vipi na liding'ha lya 30? Wakati mageuzi yanaanza hata walingi waliimba sana, kina Nindwa, chulichuli, na mimi mwenyewe (Magulumangu), hivi nani kwa sasa anyewika?Simitu ndo kutatokea mageuzi ya kweli sio Arusha wala wapi...subirini mtaona tuuu
 
Last edited by a moderator:
Walingi wengine ni walaga ng'wana sulwa, njamalapa, shangata na wengine siku hizi nimewasahau! Nina mda mrefu sipo huko kwa hiyo lya 30 bwana sijui siku hizi wanasimiyu wanalichukuliaje!!
Hahah muuza ubuyu mie mhango pale (Mbiti), Cheyo namba nyingine ile, lile jamaa mpaka lenyewe litoke tu, Wana Simiyu ndo wanamageuzi ya kweli, mkuu, mbina vipi na liding'ha lya 30? Wakati mageuzi yanaanza hata walingi waliimba sana, kina Nindwa, chulichuli, na mimi mwenyewe (Magulumangu), hivi nani kwa sasa anyewika?Simitu ndo kutatokea mageuzi ya kweli sio Arusha wala wapi...subirini mtaona tuuu
 
Inaonesha wananchi wa mkoa huo mpya wanaupeo mkubwa sana

Patrickn;

Umenena. Wananchi walio wengi wa mkoa wa Simiyu ni kabila la Wanyantuzu. Hawa ni kabila ndani ya Wasukuma lakini machachari sana katika maeneo mbalimbali kuanzia Siasa,Biashara,Ukulima,na Ufugaji. Wanyantuzu ni wachapa kazi hakuna mfano wake. Nenda Simiyu utafute duka la Mchagga, itakuwa shida kulipata! Unajua ni kwanini??? Wachagga wakifika Simiyu huwa wanakumbana na ushindani mkubwa sana wa Kibiashara toka kwa Wanyantuzu na hivo kukimbilia miji mingine!!!!

Wanyantuzu ndio watu wenye utajiri wa Ng'ombe uliopindukia. Mnyantuzu anachuana na Mmasai kwa ufugaji wa ng'ombe. Kuna kipindi Maasai walikuwa wakienda kuvamia na kuiba ng'ombe za Wanyantuzu lakini walikomeshwa kwa kipigo cha mishale. Mmasai akisikia kuna Mnyantuzu anaweza akatimua mbio kama vile hana akili nzuri au kaona kifaru cha Jeshi!! Tembelea sehemu nyingi Tanzania utakuta wafugaji wa Kimasai wametawanyika lakini siyo Simiyu!!!

Wanyantuzu a.k.a Chapa Ng'ombe siyo watu legelege au waliokaa kihasarahasara! Kama unataka kujua habari ya Wanyantuzu mtafute Andrew Chenge, John Momose Cheyo au John Madale Shibuda utajua ni watu wa aina gani. Bado kuna kina Jaji mstahafu na Mwanasheria wa Kwanza Tanzania Jaji Mark Bomani and the rest of other Bomani's like Paul Bomani(RIP)etc. Yote hiyo ni list ya watu wa Ntuzu.

Really I am proud to be one of the Simiyu's. Chezea Simiyu wewe!!!
 
Hahah we all Simiyu's proud of ourselves man...Usicheze na Watambi wewe, bashosha mang'ombe si mchezo....ujue mkuu hili la bagalu na bagika is one example of ushindani? Mchaga anajua kabisa mziki wa Mnyantuzu, kuna rafiki yangu mmoja mchaga alinambiaga ujue katika watu naowaheshimu ni Wanyantuzu, akisema neyo lulu nywanoko si, ujue hapo kimenuka.....
 
Mi ndo Simiyu basi tena kitambo toka 1995, mara ya mwisho nilikuwa huko 2009 lkn just two days....Am proud to be Nyantuzu

Magulamangu,

Enyi wana wa Ntuzu, msisahau sana kwenu Simiyu(Bariadi).

Wazungu wana kamsemo kao;Go east or west home is always Best! Jaribuni kutembelea Bariadi kwa sasa muone kasi ya maendeleo inavyobadilisha mji wa Bariadi(Simiyu Regional HQ). Katika miaka 5-10 ijayo Bariadi itakuwa ni moja ya miji mikubwa na inayokuwa kwa kasi na yenye maendeleo ya kupigiwa mfano!

Barabara ya Lami ndio bado inasuasua kwa Barabara kati ya Mwigumbi-Maswa-Bariadi(102kms) na Bariadi-Ramadi(70kms). Na hii inacheleweshwa na ma-CCM kwasababu zilezile za chuki kwa Wanyantuzu kwanini wanawapa Wapinzania Ubunge badala ya Chama Twawala CCM!!!Hii barabara ya Mwigumbi-Maswa-Bariadi -Ramadi itakapokamilika itakuwa ni kichocheo tosha kwa maendeleo ya mkoa wa Simiyu. Natamani sana Uchaguzi wa 2015 ufike ili CCM waonyeshwe mlango wa kutokea na CHADEMA ichukue nafasi kwa mustakabali wa maendeleo ya wana Simiyu.

Wabeja baba.
 
Mi niko hapa jukwaani natangaza jamii Yangu ya Ntuzu

Kwi Kwi Kwi Kwi Kwi!

Mkuu umeongea mengi ila umesahau Na sifa yetu ya bhojingi! Kwi Kwi Kwi

Kweli wanyantuzi penda penda!
 
Last edited by a moderator:
Wanatafuta kwa njia zote hata kuwa 'bhalala sagala'!
Hahah we all Simiyu's proud of ourselves man...Usicheze na Watambi wewe, bashosha mang'ombe si mchezo....ujue mkuu hili la bagalu na bagika is one example of ushindani? Mchaga anajua kabisa mziki wa Mnyantuzu, kuna rafiki yangu mmoja mchaga alinambiaga ujue katika watu naowaheshimu ni Wanyantuzu, akisema neyo lulu nywanoko si, ujue hapo kimenuka.....
 
Magulamangu,

Enyi wana wa Ntuzu, msisahau sana kwenu Simiyu(Bariadi).

Wazungu wana kamsemo kao;Go east or west home is always Best! Jaribuni kutembelea Bariadi kwa sasa muone kasi ya maendeleo inavyobadilisha mji wa Bariadi(Simiyu Regional HQ). Katika miaka 5-10 ijayo Bariadi itakuwa ni moja ya miji mikubwa na inayokuwa kwa kasi na yenye maendeleo ya kupigiwa mfano!

Barabara ya Lami ndio bado inasuasua kwa Barabara kati ya Mwigumbi-Maswa-Bariadi(102kms) na Bariadi-Ramadi(70kms). Na hii inacheleweshwa na ma-CCM kwasababu zilezile za chuki kwa Wanyantuzu kwanini wanawapa Wapinzania Ubunge badala ya Chama Twawala CCM!!!Hii barabara ya Mwigumbi-Maswa-Bariadi -Ramadi itakapokamilika itakuwa ni kichocheo tosha kwa maendeleo ya mkoa wa Simiyu. Natamani sana Uchaguzi wa 2015 ufike ili CCM waonyeshwe mlango wa kutokea na CHADEMA ichukue nafasi kwa mustakabali wa maendeleo ya wana Simiyu.

Wabeja baba.

Mwanangu kwetu Hatuwezi sahau!

Sisi ndio wapinzani sn ktk jamii ya kisukuma!
 
Hahah we all Simiyu's proud of ourselves man...Usicheze na Watambi wewe, bashosha mang'ombe si mchezo....ujue mkuu hili la bagalu na bagika is one example of ushindani? Mchaga anajua kabisa mziki wa Mnyantuzu, kuna rafiki yangu mmoja mchaga alinambiaga ujue katika watu naowaheshimu ni Wanyantuzu, akisema neyo lulu nywanoko si, ujue hapo kimenuka.....

Mi Nafikiri ktk nchi yetu hii mna Ntuzu ndio mjanja kuzidi makabila yote! Sijaona!

Utakuta mna Ntuzu ata km alikomea darasa la Saba au hakwenda Shule Lkn iko janja na kuelewa vibaya sn na ukimkuta Mwenye elimu kubwa basi ndo hatari! Au umkute ana hela refuuu basi ni balaa!
 
Last edited by a moderator:
Bhanywaning'we bhulemazingi no! Igi abhanike abhape nang'ologelwa!! Ahahahahahaaaaaaa!!
 
Back
Top Bottom