Simcard ya mh dr. Kikwete.....

nandembako

JF-Expert Member
Jun 16, 2013
654
523
Hivi kwa mfano umepata chance ya kupata line ya muheshimiwa utafanya nini cha kwanza?....mimi nitaangalia kwanza salio la mpesa,najua atakuwa ametumia mwaka wake wa kuzaliwa,na hana muda wa kubadilisha coz yupo busy sana,JE MWENZANGU UNGEKIMBILIA KUANGALIA NIN?..mimi kingefuata text nione nani ni _puko,nani ni _sadi, nk
 
Ota hii ndoto peke yako, nina mambo elfu na kenda ya kufikiri, hili halipo
 
Duh! Siku mpya unaanza na mawazo hayo!! Saa 12 jioni utakuwa unawaza nini sasa!!!
Ha ha ha aaah!!
 
Mimi ntaangalia kama kun SMS toka kwa Muhongo kuhusu sakata la Escrow, pia kama kuna sim bank massage mgao walimwekea ngapi.?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom