Simbachawene: Wakuu wa mkoa na wilaya wasitumie madaraka vibaya kukamata watumishi

Martin George

JF-Expert Member
Jun 4, 2017
1,695
1,470
Waziri Simbachawene amewataka wakuu wa mkoa na wilaya kuacha ubabe na badala yake wafuate sheria pindi wanapotaka kumuweka ndani mtumishi wa umma au Kiongozi wa kisiasa. Amesema ukamataji usifanywe kwa akili ya show off, Bali haki, utu, na heshima us MTU vithaminiwe! Source ITV Habari
 
Mbona ubabe wa wakuu wa mikoa umekithiri sana AWAMU HII YA VIWANDA??Au ndio viwanda vyenyewe???
 
Kumbuka Rais wetu ni Mkali kweli kweli hataki mzaha. Nanalishasema hizi sheria huwa zinatuchelewesha katika maendeleo endelevu. Kigezo cha kasi ya Mkuu wa Wilaya au Mkoa katika kufanya kazi zake ni kumweka ndani mwanasiasa wa upinzani, au muajiriwa wa Serikali..
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom