Simbachawene: Wakuu wa mikoa watakaoshindwa hili nitawapeleka kwa Rais Magufuli

Nucky Thompson

JF-Expert Member
Sep 20, 2016
1,817
4,058
Simbachawene amesema wakuu wa mikoa watakaoshindwa kutimiza agizo la kumaliza upungufu wa madawati mikoani kwao atawapeleka kwa muajiri wao ambae ni Magufuli
Amesema kuna uwezekano mdogo wa kimaliza madawati hayo kwa wakati ukiopangwa ambao ni mwishoni mwa December
Mikoa hiyo ambayo ipo nyuma sana ni Geita, Mwanza, Simiyu, Kigoma Dodoma
 
Hilo zoezi litakuwa la kila mwaka??? How come? Wanatakiwa kutengeneza madawati ya chuma badala ya mbao zinazovunjika hhovyo
 
Back
Top Bottom