Simbachawene viatu vimekuwa vikubwa sana kwake?

Mbona alisema ukweli nyie mnataka uongo wewe umalize degree yako ulale nje eti unalinda benki wakati hata una akaunti kwenye hiyo benki, unabeba siraha siku nzima mshahara laki 3. hiyo kazi ya police inafaa walio feri f4 tena kwao nikijijini na nimasikini, walio kata tamaa,......sio mtu alie soma kwani hapo alikosea?
We hujielewi polisi wanalipa mshahara kwa cheo na ngazi ya elimu kuwa na degree haimaanishi askari hataenda lindo na akamzidi mshahara staff wa benk, huyo mwanasiasa anajiongelea tu ajifunze kwa mawaziri wa ulinzi kwa mfano Raisi wa Zanzibar wa sasa kipindi chake chote ha uwaziri wa ulinzi hajawahi kutamka maneno ya dhihaka kama yale pili huyo jamaa ajawahi kuwa askari hivyo anaongea mambo hata hayajui.
 
Mods fungeni hii topic jamani! Kila benki nchi nzima walipo walinzi wa police wataonekana kama vituko kwa faida ya nani?

Watu wanadhani wanamdhalilisha Waziri Simbachawene kumbe sio, mnawadhalilisha askari wenye kazi halali na heshima kama kazi ingine yoyote.
 
Nilisikia ili upate nyota Polisi lazima uwe na degree, kama in diploma unakuwa sergeant form six unakuwa corporal. Ila unaweza kukaa miaka hata 10 na elimu yako hiyo pasipo kupewa cheo husika. Kwa maana hiyo unaweza ukawa na degree na ukaendelea kupiga LINDO
 
Back
Top Bottom