Simbachawene: Mitambo ya kuchakata umeme wa gesi sio ya serikali ni mali ya mtu binafsi

Status
Not open for further replies.
Kasome tena hiyo habari wala hawajasema mitambo ya kinyerezi shida yako umesoma kichwa cha habari ukasepa wakati mwenzako kaandika namna ya kuvutia wasomaji lakini ndani kazungumzia mitambo kama simbioni na mingine but not kinyerezi ndugu.

Andika hapa ili ambao hatujaiona hiyo habari tubalance.
 
Mungu wafungulie mwanga hao wote waliyosindikwa na Ccm wajitambue! Wakala yeyote atakae pokea rushwa ya Ccm kuruhusu bao la mkono kizazi chake kilaaniwe!
 
Inamilikiwa na Sumitomo Corporation ya Japan
http://www.theoilandgasyear.com/articles/construction-at-the-kinyerezi-iii-power-plant/
 
Kama jamaa wanamiliki 60%, na ukiongeza na limkopo lililotoka huko huko, ongeza na riba ya hilo limkopo, yawezekana gesi ikaisha visimani na deni halijalipwa.
 
Hawa UKAWA walivyo,akitokea mtukama Kibwetele,atawaingza kwenye tanuru linawaka moto na kuwaunguza wakiwamacho.Yaani ni maamuma wa kutupwa.Hawajui hata nchi ilipo,nini kınaendeshwajina nını cha nani!Dah,nimekubali LOWASA kawaloga ndugu zetu!HvAgreco,Symbion,Iptl na Songas,nı watu gani?Je wameanza lini kazi zao hapaBongo?Mpaka sasa wanachoshaurı wajuzi nı kwamba wawepo wazalishaji wengi waumeme ila wamuuzie TANESCO ambaye kimsingi ana exclusive rıght ya kusambaza.Nakwa namna hyo tunapanua wgo wa ajira,tunamfanya TANESCO akazane kuboreshahuduma za usambazaji n.k.Hata hvyo serikali atakuwa mbia kwenye hzokampuni.

Hiyo Symbion ndio muendelezo wa Richmond, mitambo yenye utata ya Richmondaliuziwa Dowans, na baadae ikamilikiwa na Symbion hadi sasa, yote yalifanyikawakati Lowasa ameshaondoka kwenye uwaziri mkuu. Swali ni kwa nini Serikali inaendeleakuitumia hii mitambo na kuiruhusu iendelee kupata tenda ya kuzalisha umemewakati wanajua ni mitambo yenye utata?

[url]http://www.africa-confidential.com/article-preview/id/4032/Generating_power_and_cash
[/URL]

Vol 52No 12
Published 10th June2011

Generatingpower and cash

10th June 2011
[h=2]The Richmond-Dowans scandalshows no sign of fading away but a US company is starting to provideelectricity[/h]Much of Tanzania struggles withpower cuts lasting 16 hours a day while the government tries to deal with themess created by the scandal over the overpriced Richmond generators (AC Vol 52No 9). The United States’ energy company Symbion Power has now bought thegenerators which have been idle since August 2008. Their combined potentialoutput is 120 megawatts and Tanzania is short of an estimated 350MW.

Gazeti la mwananchi la Leo linasema... jiandaeni kwa mgao ambao haujawahi kutokea wa umeme baada ya TANESCO kushindwa kulipa mpaka sasa kampuni iliyobaki ikizalisha umeme mwingi.

Baada ya mabwawa yoote kukauka na kampuni hiyo kunuia kuzima mitambo yake ifikapo wiki ijayo kama hawatalipwa pesa zao mpaka sasa mkurugenzi wa tanesco anahaha kusaka pesa hazina.

source mwananchi

Sijamuelewa vizuri simbachawene

Katika hali isiyo ya kawaida mheshimiwa
Waziri wa Nishati Madini, George Simbachawene kwa mara ya kwanza amesema kuwa mitambo ya kuzalisha umeme kwa kutumia gesi kutoka Mtwara iliyojengwa eneo la Kinyerezi, Dar ni MALI YA WATU BINAFSI NA SIO MALI YA SERIKALI.

Kauli hiyo imewashangaza watu wengi kwa kuwa mara zote serikali ilikuwa ikisema mitambo ile ni mali ya umma na inajengwa kwa pesa za serikali sambasamba na ujenzi wa bomba la gesi kutoka Mtwara na Mitambo ile mradi wa serikali chini ya TANESCO.

Jamani naomba mniambie Kikwete amelifanyia nini hili Taifa kwa miaka 10 tumeambiwa mradi huu umeigharimu Tanzania dola million 100 tena mkopo Kumbe mradi wa company fulani na haumilikiwi na serikali.

Navumilia kuwa Mtanzania Lowassa tuokoe watanzania.

=======================================

By Pasco:

Wanabodi,

Nimekutana na hii kitu, nimeisoma, sio tuu nimeshangaa, bali nimechoka, imeniacha hoi, mtu unaweza kupata wazimu, ukikamata SMG, unaweza kuwamiminia risasi Watanzania wenzetu wanauiuza nchi yetu na maliasili zake kwa bei ya bure kwa wageni kwa jina la wawekezaji kwa kisingizio kuwa sisi hatuna uwezo wa kuwekeza!.

Kumbe na kwenye gesi asili, Watanzania tunaendelea kuibiwa mchana kweupe!. Hatuna Sera, Hatuna Sheria, na bado tunashadadia kugawa vitalu!. Hii ni "day light Robbery!"

Hebu soma hapa chini!.

After studying the experience from other countries, the following lessons were learnt:

Location of LNG Plant – should be constructed on land (not floating LNG

on sea)

Reasons: Mainly for monitoring and control purposes – monitoring is challenging because of lack of technology and control means

There should be only one plant. The GoT/Tanzanians/Public should have majority shares to the entire

Infrastructure say not less than 51% – to have authority say and decision making for the benefit of the country. It may be on PPP model.

The proposed land for construction of LNG and other industries utilizing natural gas should be owned by the government. Facilities like roads, water and electricity should be put by GOT and appropriate tariff should be determined for the government.

1. KWA GESI ALIYOTUJALIA MWENYEZI MUNGU, TUKIJIPANGA VIZURI, TUTAPATA MAENDELEO MAKUBWA KULIKO AMA KAMA SOUTH AFRICA. 2. MAKAMPUNI MAKUBWA YA UTAFUTAJI WA MAFUTA NA GESI YANAELEWA NA YANATAKA TUBAKI KWENYE HALI YA KUTOELEWA HALI YA BIASHARA YA GESI. YANATULAGHAI KWA NJIA YA UZOEFU NA WALIONAO. 3. GAS HATA KAMA IKO CHINI YA BAHARI AU CHINI YA ARIDHI NI MALI YETU NA INAYO VALUE YAKE NA SIO MWENYE UWEZO WA KUITOA ARIDHINI BASI NDIE MWENYE GAS DARWIN THIORY ISITUMIKE KWA MALIASILI YA NCHI YETU.

MY TAKE!. 1. Kumbe gesi yote inayovunwa nchini sasa na itakayoendelea kuvunwa miaka ijayo, siyo yetu!, ni ya mwekezaji!.

2. Eti gesi hiyo haina thamani yoyote kwetu huko chini ardhini ilipo, na wala sio mali yetu!, bali ni mali ya mwekezaji anayeichimba na sisi tunauziwa kwa bei ya soko, na faida yote ni ya mwekezaji anayechimba, ila taifa litafaidika na kodi!.

Nimeshindwa kuendelea kwa sasa kutokana na hasira!.

Mungu Ibariki Tanzania!.

Pasco.

Makampuni ya nje yamewekeza kuzalisha umeme,

Shareholders: ShangTan Power Generation/ Tanzania Government
Cost: $450 million
Phase 1 start date: Fourth quarter of 2014
Phase 1 completion date: 2016
Output upon completion of phase 1: 300 MWh
Output upon completion of phase 2: 600 MWh

Construction at the Kinyerezi III power plant, one of a set of four Tanzanian gas-powered power plants being built in the Kinyerezi area in Dar es Salaam to extend the country’s power generation capacity, is set for December 2014. The first stage of the project will comprise two 180-MWh units, with a planned second stage to put the plant’s final output at 600 MWh.

The Shanghai Electric Power Company, which is the parent company of ShangTan Power Generation, owns a 60-percent share in the plant and predicts that the first of the two 180-MWh units should come online on the end of 2015. The second unit of the first stage should be connected in mid-2016.

GENERATED DEVELOPMENT: Following the conclusion of the project, the output will be directed to a 400-KV substation, under development in the Kinyerezi area, and from there, connected to the national grid.

As a part of a four-power-plant complex, Kinyerezi III falls under national electricity company Tanesco’s overall power generation expansion development plan, structured around hydropower, coal and gas, which should both help to curb the limitations of the country’s power generation market, and also release it from an expensive dependency on heavy-fuel-based generation.

“In contrast to our usual working grounds, here in Tanzania we are tasked with creating a concrete and detailed study of the basis of engineering and construction work, which in China has always been done before the project was planned,” a Tanzanian representative of the Shanghai Electric Power Company told TOGY. “This had an impact in defining the timeframe of the project, but we are confident that we will be able to correspond to the demands of the government,” they added.

Kinyerezi I, being built by Norway’s Jacobsen Elektro, will have a capacity of 150 MW and come online by the end of 2014. Kinyerezi II, developed by Japan’s Sumitomo Corporation, is expected to come online by December 2015 and will have a capacity of 240 MW. Meanwhile, the 450-MW Kinyerezi IV, developed by the Poly Group of China, should be contributing to the national grid by June 2015.

PROJECT TIMEFRAME: The joint-venture agreement between the Shanghai Electric Power Company and state-owned Tanesco, which assumes the remaining 40-percent share, was signed on October 24, 2013. The memorandum of understanding was signed in July 2013. The feasibility studies were concluded in July 2014 and the initial design engineering and tendering processes were underway as of August 2014. At that point, the timeframe for the second stage of engineering, procurement and construction development was still under discussion.

A STEP FORWARD: This is the first Tanzanian project that the Shanghai Electric Power Company is involved in and aligns with an increasingly strong relationship between both the Tanzanian and Chinese governments, as well as with Tanesco’s plan to expand its power generation capacity and curb the country’s recurrent power shortages.

“While this is Shanghai Electric Power Company’s first collaboration with the Tanzanian government, we envision a future extension to this co-operation, as we see endless potential for gas-fired power generation units in the region,” the company’s representative said.

The drafting of the contract for the Kinyerezi power plant development was included in a number of contracts signed with Chinese players including a power transmission line to join the national grid from Dar es Salaam to Arusha, with a capacity of 400 KV and to be completed by Tabiau Electric Apparatus Stock at a cost of $692.7 million, the development of the Rumakai hydro-power project in the Northern Highlands region to be undertaken by the China Gezhouba Group Corporation, and the Masigira hydropower project in Masigira, a $136-million development between local company Mkonge Energy Systems and China’s national hydropower company Sinohydro.

Outside the energy industry, projects for housing developments and other infrastructural developments were also agreed in October 2013, a historical moment for Sino-Tanzanian relations. In total, over this single set of agreements, Chinese companies will be investing around $1.7 billion in infrastructure-related projects in Tanzania.
Construction at the Kinyerezi III power plant
 
Wewe ni kibaraka uliyepata mgao wako wa kupotosha jamii kwa manufaa ya mafisadi hatudanganyiki,bahati mbaya saa hizi niko na simu haiwezifanya mambo mengi ningeweka Source hapa. Kama fisadi wenu haingii Ikulu,tumejifunza kwenye Richmond haturudii tena.

Ukweli kuhusu gesi ya Mtwara serikali inamiliki kwa 100%, wewe unajaribu kupotosha watu kwa bahati mbaya nyumbu as ussually tayari wanafata muelekeo bila kujiuliza. Walipoambiwa Lowassa ni Fisadi waliimba ni fisadi na walipoambiwa si fisadi waliimba si fisadi.

Kinyerezi Power Plant.
Kampuni ya Kichina inamiliki 60% na Tanesco inamiliki 40%,mkataba ulisainiwa 2013. Sasa tuambie Richmond kampuni yetu ya Tanesco inamiliki kiasi gani? Wewe unaishi Dar es Salaam unaijua kale kaofisi cha Richmond mitaa ya Kisutu ni kachumba ka mita tatu kwa tatu na ilipewa contract ya mabilion,hamuoni aibu wala haya kuwatumikia mashetani hawa? Tumejifunza kutokana na makosa,kuleni pesa za mafisadi lakini Ikulu ni Dr Magufuli haturudii kosa

habith Laa maali
 
Weita leta konyagi kubwa baridi na soda wota! haa hivyo hivyo wewe reta konyagi kubwa!!
 
ndo maana walileta muswada wa gesi ijadiliwe fasta ili wazee wapige *****....afu ooh ccm safiiii...
 
Kwa hiyo bunge likianza tu wanaanza kuunda tume kuchunguza wizi wa gas??

Hii nchi tamu sana
 
Nimeishiwa hadi nguvu! Staki kuamini kama hizi habari ni za kweli
 
ukiweza kustahimili kuwa raia wa tanzania basi hakuna nchi itakayokushinda kuishi
 
Gazeti la mwananchi la Leo linasema... jiandaeni kwa mgao ambao haujawahi kutokea wa umeme baada ya TANESCO kushindwa kulipa mpaka sasa kampuni iliyobaki ikizalisha umeme mwingi.

Baada ya mabwawa yoote kukauka na kampuni hiyo kunuia kuzima mitambo yake ifikapo wiki ijayo kama hawatalipwa pesa zao mpaka sasa mkurugenzi wa tanesco anahaha kusaka pesa hazina.

source mwananchi

Sijamuelewa vizuri simbachawene

Katika hali isiyo ya kawaida mheshimiwa
Waziri wa Nishati Madini, George Simbachawene kwa mara ya kwanza amesema kuwa mitambo ya kuzalisha umeme kwa kutumia gesi kutoka Mtwara iliyojengwa eneo la Kinyerezi, Dar ni MALI YA WATU BINAFSI NA SIO MALI YA SERIKALI.

Kauli hiyo imewashangaza watu wengi kwa kuwa mara zote serikali ilikuwa ikisema mitambo ile ni mali ya umma na inajengwa kwa pesa za serikali sambasamba na ujenzi wa bomba la gesi kutoka Mtwara na Mitambo ile mradi wa serikali chini ya TANESCO.

Jamani naomba mniambie Kikwete amelifanyia nini hili Taifa kwa miaka 10 tumeambiwa mradi huu umeigharimu Tanzania dola million 100 tena mkopo Kumbe mradi wa company fulani na haumilikiwi na serikali.

Navumilia kuwa Mtanzania Lowassa tuokoe watanzania.

=======================================

By Pasco:

Wanabodi,

Nimekutana na hii kitu, nimeisoma, sio tuu nimeshangaa, bali nimechoka, imeniacha hoi, mtu unaweza kupata wazimu, ukikamata SMG, unaweza kuwamiminia risasi Watanzania wenzetu wanauiuza nchi yetu na maliasili zake kwa bei ya bure kwa wageni kwa jina la wawekezaji kwa kisingizio kuwa sisi hatuna uwezo wa kuwekeza!.

Kumbe na kwenye gesi asili, Watanzania tunaendelea kuibiwa mchana kweupe!. Hatuna Sera, Hatuna Sheria, na bado tunashadadia kugawa vitalu!. Hii ni "day light Robbery!"

Hebu soma hapa chini!.

After studying the experience from other countries, the following lessons were learnt:

Location of LNG Plant – should be constructed on land (not floating LNG

on sea)

Reasons: Mainly for monitoring and control purposes – monitoring is challenging because of lack of technology and control means

There should be only one plant. The GoT/Tanzanians/Public should have majority shares to the entire

Infrastructure say not less than 51% – to have authority say and decision making for the benefit of the country. It may be on PPP model.

The proposed land for construction of LNG and other industries utilizing natural gas should be owned by the government. Facilities like roads, water and electricity should be put by GOT and appropriate tariff should be determined for the government.

1. KWA GESI ALIYOTUJALIA MWENYEZI MUNGU, TUKIJIPANGA VIZURI, TUTAPATA MAENDELEO MAKUBWA KULIKO AMA KAMA SOUTH AFRICA. 2. MAKAMPUNI MAKUBWA YA UTAFUTAJI WA MAFUTA NA GESI YANAELEWA NA YANATAKA TUBAKI KWENYE HALI YA KUTOELEWA HALI YA BIASHARA YA GESI. YANATULAGHAI KWA NJIA YA UZOEFU NA WALIONAO. 3. GAS HATA KAMA IKO CHINI YA BAHARI AU CHINI YA ARIDHI NI MALI YETU NA INAYO VALUE YAKE NA SIO MWENYE UWEZO WA KUITOA ARIDHINI BASI NDIE MWENYE GAS DARWIN THIORY ISITUMIKE KWA MALIASILI YA NCHI YETU.

MY TAKE!. 1. Kumbe gesi yote inayovunwa nchini sasa na itakayoendelea kuvunwa miaka ijayo, siyo yetu!, ni ya mwekezaji!.

2. Eti gesi hiyo haina thamani yoyote kwetu huko chini ardhini ilipo, na wala sio mali yetu!, bali ni mali ya mwekezaji anayeichimba na sisi tunauziwa kwa bei ya soko, na faida yote ni ya mwekezaji anayechimba, ila taifa litafaidika na kodi!.

Nimeshindwa kuendelea kwa sasa kutokana na hasira!.

Mungu Ibariki Tanzania!.

Pasco.

Waendelee kukata, mgao uendelee mpaka 2017 mwishoni, sisi tulio kwenye Generator Busines mambo yanaenda vizuri, na mapato yanaongezeka, tupewe nini tena jamani?
 
Wewe ni kibaraka uliyepata mgaowako wa kupotosha jamii kwa manufaa ya mafisadi hatudanganyiki,bahati mbaya saahizi niko na simu haiwezifanya mambo mengi ningeweka Source hapa. Kama fisadiwenu haingii Ikulu,tumejifunza kwenye Richmond haturudii tena.

Ukweli kuhusu gesi ya Mtwara serikali inamiliki kwa 100%, wewe unajaribukupotosha watu kwa bahati mbaya nyumbu as ussually tayari wanafata muelekeobila kujiuliza. Walipoambiwa Lowassa ni Fisadi waliimba ni fisadi nawalipoambiwa si fisadi waliimba si fisadi.

Swali la msingi hapa ni Je kwa mujibu wa mikatabailiyosainiwa kati ya serikali na makampuni yaliyopewa leseni za kutafuta nakuchimba gesi ,serikali itapata asilimia ngapi ya faida pato la gesi namakampuni ya BG group / na Ophir yanayomiliki leseni za vitalu namba 1, 3 na 4 naExxon Mobil inayomiliki leseni ya kitalu number 2 watachukua asilimia ngapi yapato la gesi? Hii mikataba mingi bado ni siri, watanzania tungependa iwekwewazi na irekebishwe ili serikali ya tanzania iweze kupata faida inayoeleweka nakukubalika

Kinyerezi Power Plant.
Kampuni ya Kichina inamiliki 60% na Tanesco inamiliki 40%,mkataba ulisainiwa2013. Sasa tuambie Richmond kampuni yetu ya Tanesco inamiliki kiasi gani? Weweunaishi Dar es Salaam unaijua kale kaofisi cha Richmond mitaa ya Kisutu nikachumba ka mita tatu kwa tatu na ilipewa contract ya mabilion,hamuoni aibuwala haya kuwatumikia mashetani hawa? Tumejifunza kutokana na makosa,kulenipesa za mafisadi lakini Ikulu ni Dr Magufuli haturudii kosa
Kiongozi, kampuni ya kichina kumiliki asilimia 60 ya powerplant sio jambo zuri kwa serikali au kwa mwananchi

mitambo yenye utata ya richmond waliuziwa Dowans nabaadae Symbion wakainunua na ndio wanaimiliki hadi sasa, haya yote yalifanyikawakati Lowassa ameshaondoka madarakani, swali je kwa nini serikali inaendeleakutumia mitambo ya Richmond ikiwa ndani ya joho la symbion na kuisifia wakatiwanajua kabisa ni mibovu, ina utata natenda walipewa kwa magumashi?
Wakisema mafisadi wa Richmond bado wapo sisiemwanadanganya?

Hii hapo chini ni moja ya article kadhaa zilizoandikwakuhusu hii ishu tangu Lowasa aondoke madarakani

http://www.africa-confidential.com/article-preview/id/4032/Generating_power_and_cash

Back
Top Bottom