Simbachawene: Mali nyingi za Mitume na Manabii zimesajiliwa kwa majina yao binafsi wakidaiwa Kodi wanadai ni mali za Kanisa

Kumaliza mzizi wa fitina hapa, suluhisho ni hili.

1. Kila taasisi ya dini ilazimishwe kuweka wazi mali inazozimiliki ili serikali ijue, waumini wajue na jamii ijue.

2. Kila kiongozi wa dini awajibike kuweka wazi mali zake kwa serikali na umma kila mwaka (Lengo ni kuepusha utakatishaji wa pesa na utapeli kupitia mgongo wa dini).

3. Mali yoyote iliyoandikishwa kwa jina la mtu ilipiwe kodi moja kwa moja, hakuna cha maongezi.

4. Mali yoyote iliyoandikishwa kwa jina binafsi na kukweka kulipa kodi kwa mgongo wa kidini itaifishwe mpaka mhusika atakapolipa kodi husika na marejeo ya adhabu.

5. Mali yoyote ya taasisi ya dini iliyokuja kumilikishwa kwa mtu binafsi kinyume na utaratibu, serikali iitaifishwe au kuirejesha kwa waumini wa dini.
Unatafutwa kaa macho sana!! haladu usilale sehemu moja jitahidi uhame!! hame kwa mfano leo mbagala kesho salasala!! kazini weka wasaidizi vinginevyo hatutakuona humu tena!!
 
Hujuia kitu wewe bado mtoto mdogo, hujui diplomasia za utawala tulia!!! wale wachungaji kina Gwajima wana ushawishi mkubwa kwa jamii!! tena wanapropaganda wakubwa!!

kinachofanyika hapo ni kutoa jukwaa hilohilo la Dini kuwashambulia wachungaji kuwekawazi ya uvunguni jinsi walivyo walafi, wezi waongo!! ....kwa kupitia jina la yesu,

hapo ujue waumini wamesha funguka kuwa wanapigwa halafu wanatumiwa kwa faida ya familia zao hao wachungaji!! alicho kifanya waziri ametoa siri zao!! zilizo chini ya kapeti polepole!!

atakuta mwisho wa siku waumini wote wanarudi upande wa sirikali, kuwa ina haki kudai kodi amabayo ni kwa manufaa ya wananchi yaani inabidi Gwajima awe mpole tu!! au ashirikiane na sirikali!!!

Tatizo Gwajima hajui Diplomasia ya kimataifa, anakurupuka tu na Dini, hata Dini yenyewe haijui vizuri!! kwa sababu anawaunga mkono waleee sinagogi la shetani ambao wasabato hawataki kuwasikia hata kidogo!! na

hapo Gwajima hajui analo lifanya Kuhusu uungaji mkono watu wa sinagogi la shetani waliotamkwa ktk Biblia labda asome hapa!! then ajirekebishe pia hajui sirikali inaweza kumtomasa donda vibaya sana na tu helkopta twake huto!

tukawa si kitu!!! sirikali bana ni sirikali tu!! labda awe muasi km museveni aanzishe sirikali yake!

Kila mmoja ana uhuru wa kutoa maoni yake
Kwa yote uliyoyaandika nimeyaelewa ila siwezi kuongeza kitu maana umeisha niita mtoto mdogo mara sijui nini wakati inawezekana nakuzidi umri sana ila kwa kuwa hatujuani nimekuacha kama ulivyo

Mara nyingine kama umekwazika na comment za humu usimhukumu mtu usiemjua kwani hilo mimi huwa naona ni kutokuelewa utumiaji wa mitandao
Unawezaje kumjua mtu umri, elimu, jinsia, kazi, na hata uwezo wake?

Be safe
 
Waziri wa Mambo ya Ndani, George Simbachawene amesema kuna tatizo kubwa kwenye umiliki wa mali katika makanisa kiasi cha kuleta changamoto kwenye ulipaji wa kodi.

Simbachawene amesema kuna mali kama Hospitali, Majengo na Magari zimeandikishwa kwa majina binafsi ya Wachungaji, Maaskofu, Mitume au Manabii lakini waumini wao huamini mali hizo ni za makanisa yao.

“Serikali inapokuja kudai kodi yake ndipo panatokea matatizo kwani viongozi hao wa dini hutaka kujificha kwenye kivuli cha Kanisa”, alisema Simbachawene katika Kongamano la Mitume na Manabii.

Chanzo: Wapo Radio

Nawatakia Dominica yenye baraka!
Huyu anachokitafuta atakipata,soon!
Alitaka wasajiri kwa jina gani?
 
Hujuia kitu wewe bado mtoto mdogo, hujui diplomasia za utawala tulia!!! wale wachungaji kina Gwajima wana ushawishi mkubwa kwa jamii!! tena wanapropaganda wakubwa!!

kinachofanyika hapo ni kutoa jukwaa hilohilo la Dini kuwashambulia wachungaji kuwekawazi ya uvunguni jinsi walivyo walafi, wezi waongo!! ....kwa kupitia jina la yesu,

hapo ujue waumini wamesha funguka kuwa wanapigwa halafu wanatumiwa kwa faida ya familia zao hao wachungaji!! alicho kifanya waziri ametoa siri zao!! zilizo chini ya kapeti polepole!!

atakuta mwisho wa siku waumini wote wanarudi upande wa sirikali, kuwa ina haki kudai kodi amabayo ni kwa manufaa ya wananchi yaani inabidi Gwajima awe mpole tu!! au ashirikiane na sirikali!!!

Tatizo Gwajima hajui Diplomasia ya kimataifa, anakurupuka tu na Dini, hata Dini yenyewe haijui vizuri!! kwa sababu anawaunga mkono waleee sinagogi la shetani ambao wasabato hawataki kuwasikia hata kidogo!! na

hapo Gwajima hajui analo lifanya Kuhusu uungaji mkono watu wa sinagogi la shetani waliotamkwa ktk Biblia labda asome hapa!! then ajirekebishe pia hajui sirikali inaweza kumtomasa donda vibaya sana na tu helkopta twake huto!

tukawa si kitu!!! sirikali bana ni sirikali tu!! labda awe muasi km museveni aanzishe sirikali yake!

Sawa
Ila nitake Radhi
Uzee wote huu tunaitana watoto

Ila mtu humjui unawezaje kuotea tu au ni tatizo la kutokujua matumizi ya mitandao I mean kukutupuka
Ila Asante kwa maelezo yote ingawa umenivunjia heahima
Take care and be safe
 
Unawezaje kumjua mtu umri, elimu, jinsia, kazi, na hata uwezo wake?
Jibu; rahisi sana ngoja niksaidie; utawaelewa watu/mtu kwa matendo, na matunda ya vinywa vyao!! ...... Mkuu braza kaka!! nikushauri tu, .....km unakwazika ki- hivi hili, si jukwaa sahihi kwako!...nakushauri km mdogo wako!
 
Waziri wa Mambo ya Ndani, George Simbachawene amesema kuna tatizo kubwa kwenye umiliki wa mali katika makanisa kiasi cha kuleta changamoto kwenye ulipaji wa kodi.

Simbachawene amesema kuna mali kama Hospitali, Majengo na Magari zimeandikishwa kwa majina binafsi ya Wachungaji, Maaskofu, Mitume au Manabii lakini waumini wao huamini mali hizo ni za makanisa yao.

“Serikali inapokuja kudai kodi yake ndipo panatokea matatizo kwani viongozi hao wa dini hutaka kujificha kwenye kivuli cha Kanisa”, alisema Simbachawene katika Kongamano la Mitume na Manabii.

Chanzo: Wapo Radio

Nawatakia Dominica yenye baraka!

Na mali nyingi za wanasiasa zimesajiliwa kwa majina ya nani? Kwako Lionwachene
 
Waziri wa Mambo ya Ndani, George Simbachawene amesema kuna tatizo kubwa kwenye umiliki wa mali katika makanisa kiasi cha kuleta changamoto kwenye ulipaji wa kodi.

Simbachawene amesema kuna mali kama Hospitali, Majengo na Magari zimeandikishwa kwa majina binafsi ya Wachungaji, Maaskofu, Mitume au Manabii lakini waumini wao huamini mali hizo ni za makanisa yao.

“Serikali inapokuja kudai kodi yake ndipo panatokea matatizo kwani viongozi hao wa dini hutaka kujificha kwenye kivuli cha Kanisa”, alisema Simbachawene katika Kongamano la Mitume na Manabii.

Chanzo: Wapo Radio

Nawatakia Dominica yenye baraka!
Hii huitwa tax planning. Manabii wengi ni front tu ya kundi fulani au biashara fulani, wanamtumia nwenye kipaji cha kuongea anakuwa msemaji wao. Kodi of course hakuna watasema ni income ya Kanisa.
 
Sawa
Ila nitake Radhi
Uzee wote huu tunaitana watoto

Ila mtu humjui unawezaje kuotea tu au ni tatizo la kutokujua matumizi ya mitandao I mean kukutupuka
Ila Asante kwa maelezo yote ingawa umenivunjia heahima
Take care and be safe
Tee!tee!tee!! yaani!! wakubwa huwaga hatusemi Mkuu!!....wewe ndiyo hujui matumizi ya mitandao kwa kwa sababu bado una tu-amri twa kizamaniiii twa nyumbani kwako!! eti mkubwa hakosei mweee!! hiyo ni zamani kitambo!!!

sikia sasa! siku hizi mkubwa akikosea anachapwa mboko tena anaichuma mwenyewe!! km unabisha vitanie vitoto vya kike ''mchumbaa'' uone km hujabebwa mzobemzobe kusikojulikana ...... ukibisha muulize babu seya ana muziki kamili!

Mheshimiwa Mbowe yuko wapi leo hii?? anabebeshwa Mtondoo na watoto wadogo tena siyo wa kwanza Wake no! ....ni level ya vitinda mimba wake!!...kwanza ungeona aibu kujitanabaisha weye ni Mzee kwa mawazo yaleee ulotoa!!

km weye ni mzee kweli weka picha hapa nikuone........maana unazidi kuchekesha Babu! bidabida on line unamjua weye? au ndo wewe?
 
Asante sana
Asiekujua hakuthamini
Haina shida tumezoea kusikia mipasho na umetumia nguvu sana kunifokea fokea .
 
Waziri wa Mambo ya Ndani, George Simbachawene amesema kuna tatizo kubwa kwenye umiliki wa mali katika makanisa kiasi cha kuleta changamoto kwenye ulipaji wa kodi.

Simbachawene amesema kuna mali kama Hospitali, Majengo na Magari zimeandikishwa kwa majina binafsi ya Wachungaji, Maaskofu, Mitume au Manabii lakini waumini wao huamini mali hizo ni za makanisa yao.

“Serikali inapokuja kudai kodi yake ndipo panatokea matatizo kwani viongozi hao wa dini hutaka kujificha kwenye kivuli cha Kanisa”, alisema Simbachawene katika Kongamano la Mitume na Manabii.

Chanzo: Wapo Radio

Nawatakia Dominica yenye baraka!
Wamemung'oa mambo ya ndani
 
Kinachosumbua kwa hawa baba zangu hata kanisa lenyewe utakuta hati ni ya mtu binafsi, nilimuuliza mmoja kwa Nini hivyo, akasema utakuta mtu kahangaika kuhubiri peke yake, katumia fedha zake kujenga kanisa na kupata waumini, kanisa likistawi anafukuzwa na mamlaka za juu, ambao hawakumsaidia hata kidogo, ndo maana hati wanaandika majina yao for security. Mi ngachoka

Sasa linapokuja suala la Kodi, unaweza kujikuta unaikemea Kodi kwa jina la jamhuri ya muungano
 
Haina shida tumezoea kusikia mipasho na umetumia nguvu sana kunifokea fokea
Heee! weee mzee wewe? punguza stress?? hapo sijafoka!! nikifoka utavumilia????... km unabisha nianze uone km utakaa hapo!!! ...af kusema eti haya nayofanya ni mipasho hilo ni jibu rahisi kwa swali gumu!!
 
Asiekujua hakuthamini
Babu samahani !!!! hivi kwanza kwa nini umejiita Black sniper??? ........ unaona jina lako linashabihiana na akili zako!kabisaaaa!!
kula vichapo kwanza ili siku nyingine ujue matumizi ya jina sahihi!!

wazee wenzako tunajulikana kwa majina yetu Wewe eti snipa mweee! huchomoki....
 
Back
Top Bottom