Simbachawene amtimua kazi Mkurugenzi wa Manispaa ya Dodoma

Kibo10

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
11,277
8,850
Waziri wa Tamisemi,George Simbachawene amemtimua kazi Mkurugenzi wa Manispaa ya Dodoma, Agustino Kalinga baada ya kubainika kuwa majukumu aliyopewa ameshindwa kuyatekeleza kwa Wakati.
 
hivi ndo kusema wanapoteza haki zao!!na lakini hawa wanaotimu si walikuwepo hata wakati ule wa yule jamaa ambaye anasema 'hajachomeka hana cha kuchomoa':oops:!!!mbona wakati huo walikuwa hawatimui!
Mkuu ukiingia clab ukikuta mziki ni wa mahadhi ya regge inabidi ucheze kwa mahadhi ya rege lakini pia ukikuta mziki ni taarab inabidi ucheze kwa mahadhi ya taarab so Inabidi wacheze kulingana na mziki unavyoigwa
 
Waziri wa Tamisemi,George Simbachawene amemtimua kazi Mkurugenzi wa Manispaa ya Dodoma, Agustino Kalinga baada ya kubainika kuwa majukumu aliyopewa ameshindwa kuyatekeleza kwa Wakati.
Ha ha ha ha!!
Hii movie ya "Timua timua" safi sana, ngoja niongeze Popcorn na Juice
 
Tulitaka mabadiliko Mbona tunaogopa kubadilika???
Mkuu kwani mabadiliko ni kutimua watumishi wa umma tu?...unataka kusema kuwa nchi hii ni maskini kwa sababu ya uzembe wa watumishi wa umma?

Vipi hao viongozi wa kisiasa waliokuwa wanasain mikataba mibovu huko ughaibuni na bado wengine wapo serikali, Wao hawana makosa?

Yeye atueleze tu anaweka watu wake basi...lakini hii ya kutuzuga kuwa anatumbua majipu sio vizuri
 
Hii timua timua Nadhanii ni kuweka ujumbe Juu ya standards za Serkali husika..
Wamepewa agizo Lakuvaa majina yao vifuanii na kuweka deski La cc wananchi kutoa madukuduku sasa baada ya hapo wataongezeka wengi tuu kwenye episode ya TimuA..
 
Duhh, hawa jamaa kweli wamepania, ila kwa mazoea yaliyokuwepo ni bora wangetangaza kuwapiga chin nafasi za uteuzi zote waanze upya.
 
Back
Top Bottom