Simba yashindwa kuivunja rekodi ya Yanga

Gordian Anduru

JF-Expert Member
Apr 16, 2021
334
657
Kuna rekodi hazivunjiki kama vile;

Young Africans ndiyo Klabu ya kwanza Tanzania kuingia robo fainali klabu bingwa 1969

Simba ndiyo klabu ya kwanza kuingia nusu fainali klabu bingwa 1974

Kuna rekodi zinavunjika kama;
Yanga kuwa klabu pekee ya Tanzania kuingia ROBO FAINALI klabu bingwa kwa misimu miwili mfululizo yaani 1969 na 1970.

Simba walikuwa wanakaribia kuivunja rekodi hiyo hata hivyo jana wametolewa
 
Asante mleta mada.

Mkuu naweaa kupata clip za matangazo ya mpira ya Redio Tanzania Dar es Salaam wakati Yanga anashiriki michuoano hiyo ya Afrika?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom