Simba wanatafutana huko kongo.

mikia wanaulizana huko....kama makambo ni vile...huku je kuna makambo wangapi???.....poleni mikia maana hata komba anao

Sent using Jamii Forums mobile app
Chura
50309861_2221036911495566_1702583421919821824_n.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahah umenikumbusha mechi ya kwanza kule Zambia Chama alivyopoteana. Pale Nkana kila anaegusa mpira Chama hadi Hassan Kessy Chama. Asee sijui Mikia iliroga?!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom