Simba wahaha kufukia kichwa cha mbuz taifa

Beira Boy

JF-Expert Member
Aug 7, 2016
17,896
25,941
Aman iwe nanyi wapendwa

Kama kichwa cha habar kinavyosomeka hapo juu

Watalam wa uloz kutoka asha fc usiku wa leo wamehaha kufukia kichwa cha mbuz bila mafanikio

Walinz wanaolinda uwanaja wa taifa wamedai wamekuwa wakisumbuliwa sana na kamati ya uloz kutoka matopen fc ili wapate kufukia kichwa cha mbuz lakin wamewazuia

Simba logen sana

Lakin lazima mle kichapo cha kutosha jumamos

Yanga nguvu moja


LONDON BABY
 
Aman iwe nanyi wapendwa

Kama kichwa cha habar kinavyosomeka hapo juu

Watalam wa uloz kutoka asha fc usiku wa leo wamehaha kufukia kichwa cha mbuz bila mafanikio

Walinz wanaolinda uwanaja wa taifa wamedai wamekuwa wakisumbuliwa sana na kamati ya uloz kutoka matopen fc ili wapate kufukia kichwa cha mbuz lakin wamewazuia

Simba logen sana

Lakin lazima mle kichapo cha kutosha jumamos

Yanga nguvu moja


LONDON BABY
Lofa. Uwanja wa taifa mechi gani. Mechi uwanja wa uhuru
 
Yaani simba kwa ushirikina tuu hawajambo, ila jmosi kipigo cha mbwa mwizi kipo pale pale j
 
Huyu mleta mada ni punga achachen nae
Huyu hapa

Amani iwe nanyi wapendwa katika bwana

Ilikuwa ni siku ya Jumapili asubuhi saa nne kama na nusu vile. Bibi yangu aliniita Kafuku njoo hapa upesi nilienda upesi kumusikiliza bibi anataka nini.

Baada ya kufika alinikalisha kitandani na kuanza kunambia anataka anitume mbali sana lakini niwahi kurudi kufikia saa moja jioni niwe nisharudi.

Nilimuuliza ni wapi huko bibi si unajua mimi huwa naendesha baisikeli kama kichaa. Akanambia hapana ni mbali sana kwa baskeli huwezi fika, nikamuuliza ni wapi sasa akanambia ni Tanga. Nikashituka kidogo nikamwambia sasa mbali kote huko nitawezaje kurudi leo leo, akasema nitakupa usafiri wa ajabu ambao ni wa haraka kufika.

Nikamuuliza usafiri gani huo akasema nakupa fisi mjukuu wangu lakini iwe siri yako usimwambie mtu. Nilikubali maana sikupenda kumubishia bibi yangu.

Alinielekeza sehemu ya kuongeza speed na kupunguza speed. Sikio la kushoto ni la kuongeza speed halafu la kulia ni la kupunguza speed.

Muda ulifika saa tano na nusu nikaanza safari kutoka Simiyu kwenda Tanga. Nilimpanda yule fisi na bibi alinipaka dawa watu wasinijue wala kuniona.

Safari ikaanza nilikuwa namkimbiza yule fisi kama sina akili aisee niliwahi sana kufika Tanga yaani saa saba nilikuwa nishafika zamani sana na kupewa ule mzigo niliokuwa nimeagizwa nikageuka, aisee ule muda wa kurudi kidogo tu nipate ajali maeneo ya Kondoa nikiwa narudi.

Lakini ile ajali niliweza kusevu na kusepa zangu nilifika Simiyu saa kumi na moja. Nilikabidhi mzigo wa bibi kama kawaida.

ZAMANI PALIKUWA PANAITWA SHINYANGA KWA SASA SIMIYU

This is true story

LONDON BQBY
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom