simba wachezaji na viongozi wawe makini sana na yanga

nzagambadume

JF-Expert Member
Apr 9, 2018
2,430
5,769
unaona jinsi hawa jamaa walivyowadanganya as vita wakakataa basi la simba,wakaja na mask zao,wakajilza kwenye corridor kama wanakufa vile wakati wa half time eti wamewekewa sumu,hayo ni maneno yashasemwa na kiongozi wa yanga dismass ten wakidai nao walishawekewa sumu na simba
Inashangaza tunafikiria taifa stars jumapili lakini kuna watu inawauma sana simba kufika robo fainali,nafikiri ni muda sahihi KINA MANARA MUWAAMBIE WACHEZAJI WAWE MAKINI HUKO MTAANI WANAWEZA WEKEWA HATA SUMU KWENYE VINYWAJI NA CHAKULA ili team isifike nusu fainali, hizi chuki ni za ajabu sana,nimeamini hata kwenye life mwaskini huwa wana roho mbaya sana.Mkiambiwa muweke mfumo wa kampuni hamtaki eti mnajivunia umaskini wenu.
PTUUUUU kinyaaaa kikubwa sana.
 
Simba Ndio Mchezo Wao Kupuliza Hewa Za Sumu Uwanjan Simba Hawana Uwezo Wa Kuwafunga Al Ahly Ndio Maana Wanafunga Kipindi Cha Pili Wakati Sumu Imewakolea Wapinzan Wao
Vipi na nyinyi tulivyowapa kile kifiro cha goli moja tuliwapulizia sumu????
 
Awamu hii ukweli ni chuki.kwani sisi wanayanga hatufahamu simba kwa hatua hii tu msimj 2020/2021 tanzania itatoa timu nne kwenye mashindano ya CAF, hatufahamu simba ikifika nusu fainali next season tutakuwa na timu mbili CCL.
Hatuna ugomvi na watani but kama mliwaspry wakongo subirini uchunguzi, utatoa majibu haina haja kulaumiana​
 
Nitafurahi sana huo uchunguzi ukiongozwa na Zahera, Dismiss & Akilimali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Awamu hii ukweli ni chuki.kwani sisi wanayanga hatufahamu simba kwa hatua hii tu msimj 2020/2021 tanzania itatoa timu nne kwenye mashindano ya CAF, hatufahamu simba ikifika nusu fainali next season tutakuwa na timu mbili CCL.
Hatuna ugomvi na watani but kama mliwaspry wakongo subirini uchunguzi, utatoa majibu haina haja kulaumiana​
Kichwa kikubwa ubongo wa mende kalale kifo cha mende uliwe tigo
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Simba Ndio Mchezo Wao Kupuliza Hewa Za Sumu Uwanjan Simba Hawana Uwezo Wa Kuwafunga Al Ahly Ndio Maana Wanafunga Kipindi Cha Pili Wakati Sumu Imewakolea Wapinzan Wao
Mawazo ya kipumbavu hayo, vip lipuli nao waliwawekea sumu..
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Back
Top Bottom