ibanezafrica
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,261
- 6,543
Kwa sifa alizonazo mnyama simba mfalme wa nyika ni
wazi sasa hivi timu ya simba kulitumia jina hili kimataifa tunamdhalilisha mnyama huyu yeye kama mnyama jasiri lakini pia tunaua au kudhoofisha moja ya vivutio vya utalii,
Huko nje kama timu inaenda Fanya vibaya watu wa Dunia wanalikariri jina hill halafu eti unawaambia karibuni tanzania mtembelee mbuga zetu tuna Vingi huko ikiwa pamoja na mnyama simba...mtalii anaona aah ndio wale wale..
Ushauri tuna wanyama wengi simba ibadilike iitwe Panya Fc..hii ita sound better
Sent using Jamii Forums mobile app