njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,084
- 8,663
Naona kama kalenda ya kimataifa imebana hadi tarhe 17 na team kama simba ina wachezaji sita wa kimataifa wameitwa huko bado hapa ndani kwetu sijui itakuwaje?
TFF waliliangalia hili, angalau wao utopolo wachezaji wao hawahitajiki huko kwao hata shikalo hahitajiki tena Harambee stars.
Hata yule tuliyeambiwa alikataa kwenda Ureno na Celta vigo ya spain akaamua kuja kwa vyura vyurani hajaitwa Angola, duh.