Simba VS Yanga matokeo miaka (6)

kibaravumba

JF-Expert Member
Dec 21, 2012
6,635
7,005
2015
Yanga 0-0 Simba
Simba 1-0 Yanga

2016
Yanga 1-1 Simba
Simba 2-1 Yanga

2017
Yanga 1-1 Simba
Simba 1-0 Yanga

2018
Yanga 0-0 Simba
Simba 1-0 Yanga

2019
Simba 1-0 yanga
Yanga 0-0 simba

2020
Simba 2-2 yanga
Yanga 1-0 Simba
Simba 4 - 1 yanga

2021
Yanga 1-1 simba
Simba vs yanga


Simba win - 6
Yanga win - 1
Draw - 7


Tuanzie hapa
 
Fala ww 2015 simba hajawahi kumfunga yanga.. Simba alikula 2, 2 nje ndani kunguni wewe
2000 Simba 2 Yanga 1
Yanga 2 Simba 0

2001 Simba 1 Yanga 0
Yanga 1 Simba 1

2002 Yanga 1 Simba 1
Simba 0 Yanga 0

2003 Yanga 2 Simba 2
Simba 0 Yanga 0

2004 Simba 2 Yanga 1
Yanga 0 Simba 1

2005 Yanga 1 Simba 2
Simba 2 Yanga 0

2006 Simba 0 Yanga 0
Yanga 0 Simba 0

2007 Yanga 1 Simba 1
Simba 1 Yanga 0

2008 Simba 0 Yanga 0
Yanga 1 Simba 0

2009 Yanga 0 Simba 0
Simba 4 Yanga 3

Itaendelea.....Andaa matusi kwani kuna mwaka utakutana na bomu la 5- 0 ambalo huwezi kulijibu kamwe
 
2000 Simba 2 Yanga 1
Yanga 2 Simba 0

2001 Simba 1 Yanga 0
Yanga 1 Simba 1

2002 Yanga 1 Simba 1
Simba 0 Yanga 0

2003 Yanga 2 Simba 2
Simba 0 Yanga 0

2004 Simba 2 Yanga 1
Yanga 0 Simba 1

2005 Yanga 1 Simba 2
Simba 2 Yanga 0

2006 Simba 0 Yanga 0
Yanga 0 Simba 0

2007 Yanga 1 Simba 1
Simba 1 Yanga 0

2008 Simba 0 Yanga 0
Yanga 1 Simba 0

2009 Yanga 0 Simba 0
Simba 4 Yanga 3

Itaendelea.....Andaa matusi kwani kuna mwaka utakutana na bomu la 5- 0 ambalo huwezi kulijibu kamwe
 
2000 Simba 2 Yanga 1
Yanga 2 Simba 0

2001 Simba 1 Yanga 0
Yanga 1 Simba 1

2002 Yanga 1 Simba 1
Simba 0 Yanga 0

2003 Yanga 2 Simba 2
Simba 0 Yanga 0

2004 Simba 2 Yanga 1
Yanga 0 Simba 1

2005 Yanga 1 Simba 2
Simba 2 Yanga 0

2006 Simba 0 Yanga 0
Yanga 0 Simba 0

2007 Yanga 1 Simba 1
Simba 1 Yanga 0

2008 Simba 0 Yanga 0
Yanga 1 Simba 0

2009 Yanga 0 Simba 0
Simba 4 Yanga 3

Itaendelea.....Andaa matusi kwani kuna mwaka utakutana na bomu la 5- 0 ambalo huwezi kulijibu kamwe

Hii ndio maana ya ukomavu yeye anaongozwa na jazba wewe mshushie data ajibizane nazo kama ana hoja.
 
As per flashscoreView attachment 1837149
Screenshot_20210701_212050_eu.livesport.FlashScore_com.jpg
 
Mkuu kwanza punguza jazba, kwani unateseka ukiwa wapi ..

Sent from my itel W5002 using JamiiForums mobile app
Ishu sio kuteseka tunataka data za kweli msidhani watu wapuuzi 2015/2016 hamjawahi kumfunga yanga chini hp ni mechi iliyopigwa 20 February 2016 natafuta nyengine niiweke hp mlipigwa nje ndani 2 bila raundi ya kwanza 2 bila raundi ya pili
 
Ishu sio kuteseka tunataka data za kweli msidhani watu wapuuzi 2015/2016 hamjawahi kumfunga yanga chini hp ni mechi iliyopigwa 20 February 2016 natafuta nyengine niiweke hp mlipigwa nje ndani 2 bila raundi ya kwanza 2 bila raundi ya piliView attachment 1837190
Mechi ya raundi ya kwanza ni hii ilikuwa September 2015
 
Mkuu kwanza punguza jazba, kwani unateseka ukiwa wapi ..

Sent from my itel W5002 using JamiiForums mobile app
Hakuna kitukibaya kama uweke rekodi mwenyewe avunje mwingine siunajua yanga aliazisha ukorofi chukua maratatu mfululizo ,hili LA tarehe 3 simba kutangazia ubingwa nakuvunja rekodi aliyojiwekea siojambodogo ,anaaza kuweka yake.

Ukikwete wawatu anavosema kama msola huwezi kazi katafute nyingine siokwamba mzee wamsoga kaamua kuchekesha watu......

Haliyetu yanga nimbaya kikubwa uzima
 
Back
Top Bottom