Simba vs Yanga Feb 20, 2016: Mwanamama kuchezesha pambano

Jospina

JF-Expert Member
Apr 19, 2013
2,421
1,387
Mwanamama kuchezesha pambano la Simba na Yanga

Mwamuzi mwanadada anayeongoza kwa kumwaga kadi, Jonesia Rukiyaa ndiye atakayechezesha mechi ya watani Yanga na Simba.

Mwanadada huyo kutoka Kagera, mara ya mwisho alichezesha mechi ya watani katika pambano la Nani Mtani Jembe ambalo Simba ilishinda kwa bao 2-0.

Hata hivyo, Jonesia anasifika kwa kutoa kadi kama njugu na faulo nyingi anachoangalia ni sheria na hakuna nafasi ya busara.
REFA MWANAMAMA.jpg

Chanzo: Saleh Jembe
 
Dih!
50-50 hiyo eeh!
Wapi tiketi zinapatikana, lazima nikaone yanga anavyonyang'anywq ndoo.
 
Ataharibu mechi huyu, mpira ni burdan pia,wakati mwingine sheria unaweka mfukoni kutoa burudani
 
Simba washafungwa nje ya uwanja.. Ya Geita Gold Sport yanaenda kutokea
 
Back
Top Bottom