Endeleeni kujipa moyo watani hakuna mkate mgumu mbele ya chaiBado mtibwa na kagera sugar.hizi timu huwa ni mwiba Kwa simba.hasa kagera sugar akiwa kwao huko kaitaba
Sent using Jamii Forums mobile app
Matola ana roho ngumu sana sawa, Lakini pia hawezi pasahu nyumbani;Huu ndio ukweli MCHUNGU ! Matola ana roho ngumu sana kwa Timu yake !
Nitaipatia uhakika wa point Simba ikishacheza na hizo timuEndeleeni kujipa moyo watani hakuna mkate mgumu mbele ya chai
Kwahiyo simba ni chai maharage!Endeleeni kujipa moyo watani hakuna mkate mgumu mbele ya chai
Hizo timu mbili ulizozitaja tukianza na mtibwa tokea mwaka huu wa 2019 uanze hajashinda hata mechi mmoja na huyo kagera yupo nafasi za kushuka daraja na kina biashara: lakini pia ujue alliance utakayecheza nae hajapoteza mechi hata mmoja kwao
Ndio mkuu ni chai maharage na lipuli atakuwa chapati iyo kesho kutwa, si unajua chapati inavyopanda kwa maharage na chai
Mechii hii simba amenunua au hajanunua? Nataka nijue kabisa ili baada ya matokeo kusiwepo na midomo midomo kua imenunua mechi
Sent using unknown device
Basi simba watume mpesa wachukue tu kombe lao, maana ishaonekana wazi hakuna club yenye kumzidi simba kifedhaIko wazi kabisa game simba kashatuma m pesa....matola ni mdau lialia wa mikia
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwenzenu alijipa moyo huo huo akala Tatu... Anapika chapati na maandazi mida hii.Bado mtibwa na kagera sugar.hizi timu huwa ni mwiba Kwa simba.hasa kagera sugar akiwa kwao huko kaitaba
Sent using Jamii Forums mobile app
hahaha afu nilitaka kukutagi mapema, et tuna viporo vigumu kweli jirani?Wale watani zangu sogeeni kipande hii kuna habari zenu.