Bado Moro United na Yanga wakati mpinzani wetu kwa sasa yaani Azamu bado Mtibwa Sugar, Toto Africa mechi yake ya tatu sii kumbuki...
hongereni ssc
Usiwapaishe mkuu, Azam wana 23 GDItabidi Moro Utd tuwapige Mvua za Magoli ili tuwe na Goal Difference nzuri so far sisi tuna 27 GD na Azam wana 24 GD na nadhani tuliwapiga Kotekote
nakubali, lakini mtoto lazima always awe aware anapokutana na mkubwa wake....akumbuke "shikamoo".
so usisahau kutoa shikamoo kwa wazazi wako wawili (simba na yanga) hapa chini.
yanga: 23 times champions
simba: 17 times champions
azam: 0 times champions
azam bado ni work-in-progress. wasubiri another 5 years ku-lift any country level trophy - na hapo pia itategemea kama mzee bakhresa bado atakuwa na ubavu maana watu wa aina yake tumewaona wengi......gulamali, manji, dewji, mo na african lion yake (wote hawa walikuja wakaenda).
Mbona hujatoa matokeo ya mwisho ili na sisi tulio mbali tuelewe? Simba ameshinda au ameshindwa kwa bao ngapi kwa ngapi? Na Yanga je leo kapona kwa wakata miwa wa Kagera?Binafsi kama nitashinda mechi ya leo sina haja tena kumtakia yanga mabaya labda Azam FC...
Congrats Simba!!
Mbona hujatoa matokeo ya mwisho ili na sisi tulio mbali tuelewe? Simba ameshinda au ameshindwa kwa bao ngapi kwa ngapi? Na Yanga je leo kapona kwa wakata miwa wa Kagera?
Safari hii CAF tunakwenda wote Mkuu.
Ni pumba kupongeza ushindi wa Simba? wewe ni moderator? Who the hell are you, ufanye kazi ya kujudge hisia za watu?kumbe ni pumba hiyo.. :focus:
kwa kweli mechi zilizo baki ni ngumu halafu siyo rahisi hata kuhonga...
doh hivi Yanga walikuwa hawajavua gamba kumbe?Mmh ili vuguvugu la Nguvu ya umma ni balaa.
Mpira una endalea Simba 1 na JKT Ruvu 0...
========
Simba 3 na JKT Ruvu 0
Kagera Sugar 1 na Yanga 0
Coatal 1 na Polisi 0
Toto 2 na African Lyno 0